Wachezaji wanaowania Tuzo za TFF 2023/2024 Majina Yote

Wachezaji wanaowania Tuzo za TFF 2023/2024 Majina Yote, Tuzo za TFF ni tukio la kusisimua linaloheshimu mafanikio ya wachezaji, makocha, timu, na viongozi katika tasnia ya soka nchini Tanzania.

Mwaka huu, tuzo hizi zitawapa wachezaji fursa ya kutambuliwa kwa juhudi zao na mchango wao katika kukuza soka nchini. Hapa chini ni orodha ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali za TFF kwa msimu wa 2023/2024.

Ligi Kuu ya Wanawake

Mfungaji Bora
  • Aisha Mnuka – Simba Queens
Kipa Bora
  • Najath Abbas – JKT Queens
  • Caroline Rufaa – Simba Queens
  • Mariam Shaaban – Bunda Queens
Mchezaji Bora
  • Aisha Mnuka – Simba Queens
  • Stumai Abdallah – JKT Queens
  • Kaeda Wilson – Yanga Princess
  • Violeth Nicholaus – Simba Queens
  • Vivian Corazone – Simba Queens
Kocha Bora
  • Juma Mgunda – Simba Queens
  • Esther Chabruma – JKT Queens
  • Noah Kanyoga – Ceasiaa Queens
Best Eleven
  • Itatangazwa usiku wa tuzo, ukumbini.
Mchezaji Bora Chipukizi
  • Esther Maseke – Bunda Queens
  • Lydia Kabambo – JKT Queens
  • Bituro Mgosi – Bunda Queens
Mwamuzi Msadizi Bora
  • Sikudhan Mkurungwa
  • Glory Tesha
  • Zawadi Yusuph
  • Monica Wazael
  • Getruda Gervas
Mwamuzi Bora
  • Amina Kyando
  • Tatu Malogo
  • Anitha Kisoma
  • Esther Adalbert
Timu yenye Nidhamu
  • Bunda Queens
  • Simba Queens
  • Amani Queens

Tuzo za Ligi Kuu ya NBC (PL)

Mfungaji Bora
  • Aziz Ki – Yanga
Kipa Bora
  • Ayoub Lakred – Simba
  • Djigui Diarra – Yanga
  • Ley Matampi – Coastal
Beki Bora
  • Kouassi Yao – Yanga
  • Ibrahim Hamad – Yanga
  • Mohamed Hussein – Simba
Kiungo Bora
  • Aziz Ki – Yanga
  • Feisal Salum – Azam
  • Kipre Junior – Azam
Mchezaji Bora
  • Aziz Ki – Yanga
  • Feisal Salum – Azam
  • Kipre Junior – Azam
  • Djigui Diarra – Yanga
  • Ley Matampi – Coastal
  • Kouassi Yao – Yanga
  • Ibrahim Hamad – Yanga
  • Mohamed Hussein – Simba
Kocha Bora
  • David Ouma – Coastal Union
  • Bruno Ferry – Azam FC
  • Miguel Gamondi – Young Africans
Best Eleven
  • Itatangazwa ukumbini, usiku wa Tuzo.
Meneja Bora
  • Amir Juma – Azam Complex
  • Nasser Makau – Mkwakwani
  • Shaaban Rajabu – Lake Tanganyika
Kamishna Bora
  • Martin Kibua – Tanga
Mchezaji Bora Chipukizi
  • Semfuko Charles – Coastal
  • Shomary Raheem – KMC
  • Costantine Malimi – Geita
Seti Bora ya Waamuzi
  • Simba SC 1-5 Young Africans
    • Ref: Ahmed Arajiga
    • Asst: Mohamed Mkono
    • Asst: Kassim Mpanga
    • 4th: Ramadhan Kayoko
  • Simba SC 1-2 Prisons
    • Ref: Nassoro Mwinchui
    • Asst: Makame Mdogo
    • Asst: Neema Mwambashi
    • 4th: Selemani Kinugani
  • Azam FC 2-1 Young Africans
    • Ref: Hery Sasi
    • Asst: Frank Komba
    • Asst: Kassim Mpanga
    • 4th: Ishaka Mwalile
  • Azam FC 0-0 Mashujaa
    • Ref: Katanga Hussein
    • Asst: Hamdan Said
    • Asst: Martin Mwalyae
    • 4th: Ramadhan Kayoko
  • JKT 0-0 Young Africans
    • Ref: Herry Sasi
    • Asst: Omari Kambangwa
    • Asst: Zawadi Yusuph
    • 4th: Ishaka Mwalile

Tukio hili la Tuzo za TFF ni muhimu sana kwa wachezaji na wadau wote wa soka nchini. Ni nafasi ya kutambua juhudi za wachezaji na kuhamasisha wengine kufanya vizuri zaidi katika mchezo huu wa soka.

Tuendelee kuunga mkono soka la Tanzania na kuwasifu wachezaji wetu wapendwa!

Soma Zaidi:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.