Tetesi Za Usajili Yanga SC Msimu Wa 2024/2025 (Usajili Wa Yanga 2024) Tetesi Zote Angalia Hapo Chini:
Mikataba mipya wachezaji Salum Abubakar, Jonas Mkude, Bakari Nondo Mwamnyeto pamoja na Kibwana Shomari.
Beki wa kushoto wa klabu ya FC Lupopo ya kwao DR Congo, Chadrack Issaka Boka .
Clatous Chama
Mshambuliaji wa Zimbabwe Prince Dube mwenye umri wa miaka 27.
Winga TP Mazembe ya kwao DR Congo, Phillipe Kinzumbi mwenye umri wa miaka 26.
Kumbuka Hizi Ni Tetesi Tu: Taarifa Zaidi: https://twitter.com/YoungAfricansSCÂ
Soma Zaidi:
Tuachie Maoni Yako