Tetesi Za Usajili Yanga SC Msimu Wa 2024/2025 (Usajili Wa Yanga 2024)

Tetesi Za Usajili Yanga SC Msimu Wa 2024/2025 (Usajili Wa Yanga 2024) Tetesi Zote Angalia Hapo Chini:

Mikataba mipya wachezaji Salum Abubakar, Jonas Mkude, Bakari Nondo Mwamnyeto pamoja na Kibwana Shomari.

Beki wa kushoto wa klabu ya FC Lupopo ya kwao DR Congo, Chadrack Issaka Boka .

Clatous Chama

Mshambuliaji wa Zimbabwe Prince Dube mwenye umri wa miaka 27.

Winga TP Mazembe ya kwao DR Congo, Phillipe Kinzumbi mwenye umri wa miaka 26.

Kumbuka Hizi  Ni Tetesi Tu: Taarifa Zaidi: https://twitter.com/YoungAfricansSC 

Soma Zaidi:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.