Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Kada Ya Msaidizi Wa Afya (Health Assistant) Mdas & Lgas

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Kada Ya Msaidizi Wa Afya (Health Assistant) Mdas & Lgas Uliofanyika Tarehe 4 Septemba, 2024,

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya kazi kwa ajili ya usaili wa mahojiano.

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Kada Ya Msaidizi Wa Afya (Health Assistant) Mdas & Lgas

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

Tazama Hapa Matokeo Ya Usaili

MSAIDIZI WA AFYA (HEALTH ASSISTANT)