Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Kada Ya Afisa Lishe ii (Nutrition Officer Ii) Na Katibu Wa Afya ii

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Kada Ya Afisa Lishe ii (Nutrition Officer Ii) Na Katibu Wa Afya ii ( Health Secretary ) Mdas & Lgas Uliofanyika Tarehe 6 Septemba, 2024.

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya kazi kwa ajili ya usaili wa mahojiano.

Usaili Wa Kuandika Kada Ya Afisa Lishe ii (Nutrition Officer Ii) Na Katibu Wa Afya ii ( Health Secretary )

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

Majia ya Matokeo Usaili:

Mapendekezo:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.