Matokeo Ya Usaili (TCAA) Uliofanyika Tarehe 23/07/2024

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Mamlaka Ya Usafiri Wa Anga Tanzania (Tcaa) Uliofanyika Tarehe 23/07/2024
Jul 23, 2024

Wasailiwa Waliochaguliwa (Selected) Kuendelea Na Usaili Wanatakiwa Kuzingatia Muda Na Sehemu Ya Kufanyia Usaili Kama Ilivyoainishwa Kwenye Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili.

  1. Wasailiwa Wote Wanatakiwa Kufika Wakiwa Wamevaa Barakoa (Mask)
  2. Wasailiwa Wote Wanakumbushwa Kufika Na Vyeti Vyao Halisi (Original Certificates)
  3. Wasailiwa Wote Wanatakiwa Kufika Na Vitambulisho Vyao

Majina Hapa: https://www.ajira.go.tz/baseattachments/newsattachments/

Soma Zaidi:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.