Ni heshima kubwa sana kuwa hapa kuifundisha Young Africans Sports Club, ni Klabu kubwa sana yenye wachezaji wenye vipaji vikubwa na ni fahari kuwaongoza kuendeleza mafanikio ya Klabu hii yenye mataji mengi” @seadramovic79
Karibu 𝐘𝐨𝐮𝐧𝐠 𝐀𝐟𝐫𝐢𝐜𝐚𝐧𝐬 𝐒𝐂, Kocha Mkuu Sead Ramovic🔰
Tuachie Maoni Yako