Fomu ya kujiunga na JKT 2024 PDF, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ni taasisi muhimu nchini Tanzania inayotoa mafunzo ya ulinzi, uzalendo, na ujasiriamali kwa vijana. Kila mwaka, JKT inatangaza nafasi za kujiunga, na mwaka huu wa 2024, vijana wanakaribishwa kujiunga kupitia mchakato wa uandikishaji.
Makala haya yanatoa mwanga kuhusu mchakato wa kujiunga na JKT, masharti, na jinsi ya kupata fomu ya kujiunga.
Masharti ya Kujiunga na JKT
Ili kujiunga na JKT, vijana wanapaswa kutimiza masharti yafuatayo:
- Uraia: Awe raia wa Tanzania.
- Elimu: Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea, na awe amefaulu.
- Umri: Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 25.
- Hali ya Ndoa: Awe hajaoa au hajaolewa.
- Tabia: Awe na tabia na mwenendo mzuri.
- Afya: Awe na akili timamu na afya nzuri.
Aina za Vijana Wanaojiunga
JKT inawajumuisha vijana katika makundi mawili:
- Vijana wa Kujitolea: Hawa ni vijana wanaojiunga kwa mkataba wa kujitolea kwa kipindi kisichopungua miaka miwili. Mara baada ya kuandikishwa, wanapelekwa kwenye kambi mbalimbali za JKT kwa mafunzo.
- Vijana wa Mujibu wa Sheria: Hawa ni vijana wanaojiunga kwa mujibu wa sheria, wakitumikia kwa kipindi kisichopungua miezi mitatu. Hawa ni hasa wale waliomaliza kidato cha sita.
Mchakato wa Uandikishaji
Uandikishaji wa vijana kujiunga na JKT hufanyika kupitia hatua zifuatazo:
- Tangazo: JKT hutangaza nafasi za kujiunga kupitia vyombo vya habari, ikiwemo mitandao ya kijamii na tovuti rasmi.
- Kupata Fomu: Vijana wanapaswa kupata fomu ya kujiunga. Fomu hii inapatikana katika tovuti rasmi ya JKT au ofisi zao za mikoa.
- Kujaza Fomu: Baada ya kupata fomu, vijana wanapaswa kujaza kwa usahihi na kuwasilisha kwa wakati.
- Usaili: Wale watakaofaulu katika mchakato wa uandikishaji wataitwa kwa ajili ya usaili na mahojiano.
- Mafunzo: Vijana watakaokubaliwa watapelekwa kwenye kambi za JKT kwa mafunzo ya awali.
Jinsi ya Kupata Fomu ya Kujiunga
Ili kupata fomu ya kujiunga na JKT mwaka 2024, vijana wanaweza kufuata hatua zifuatazo:
- Tembelea tovuti rasmi ya JKT jkt.go.tz ambapo fomu za kujiunga zinapatikana kwa PDF.
- Pia, fomu inaweza kupatikana katika ofisi za JKT zilizopo katika mikoa mbalimbali nchini.
- Ni muhimu kuhakikisha kuwa fomu inajazwa kwa usahihi ili kuepusha matatizo wakati wa mchakato wa uandikishaji.
Kujiunga na JKT ni fursa muhimu kwa vijana wa Tanzania kujifunza ujuzi mbalimbali na kujiandaa kwa ajili ya huduma kwa taifa.
Kwa kufuata mchakato sahihi wa uandikishaji na kutimiza masharti yaliyowekwa, vijana wanaweza kupata nafasi ya kuhudumu katika JKT na kupata mafunzo muhimu.
Fomu ya kujiunga inapatikana kwa urahisi kupitia tovuti rasmi ya JKT, hivyo ni vyema vijana kujiandaa mapema.
Soma Zaidi:
Maombi yakujiunga na jeshi la wananch
Maombi yakujiunga na jeshi jkt
Naitwa Muarafat kalokola Najim mimi kama mtanzania na mzalendo wa nchi yangu nipo tayari kujiunga na jeshi la kijenga taifa jkt elimu yangu ni kidato cha nne division4 nina umri wa miaka 23 nipo mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Ilala, vigezo vyote vimekamilika na niko sawa kifya na nina akila timam nitashukuru endapo ombi langu litakubaliwa
MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFAA (J.K.T) 0678327314
JAMBO AFANDE NI MIMI KIJANA WENU RAIA WA TANZANIA NATUM MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFAA (J.K.T) KWA RIDHAA YANGUU MWENYW NA NIPOO TIYARI KULITUMIKIA JESHI HILO PIA NIPO TIAR KUFA LWA JILI YA KULINDA AMANI YA NCHI YANGU. 0678327314
Naomba kujiunga na jeshi la kujenga Taifa ( J.K.T) kwa ridhaa yangu mwenyewe . 0785819654
Naitwa DAMSH ABDUL KALEMBO ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na kupata ufaulu wa daraja la nne(26), nipo teali kulitumikia jeshi la kujenga taifa (JKT), na kutii sheria na taratibu zote . Aidha nitajitoa katika shughuli zote za kimaendeleo pamoja na kujenga taifa . Natumaini ombi langu litafanikiwa. Ahsante. Mawasiliano: 0782796199
Maombi yakujiunga na jeshi la kujenga taifa JKT mimi John nipo tayari na nimelidhia kujiunga mwenyew kulitumikia jeshi la kujenga taifa JKT nakaa mkoa wa pwani wilaya ya chalinze naelimu ya shule ya msingi darasa lasaba pia naujuzi wa driving nanina miaka 18
Jambo afande pole na kazi m raia wa tanzania nipo tayari kujiunga na jeshi either kwa kujitolea nipo tayar elimu yangu nipo chuo mwaka wa kwanza stashahada ya umeme nipo tayari kasimamisha masomo yangu nikalitumikie jeshi na pia nilipitia mafunzo ya mujibu wa sheria op miaka 60 ya Jkt
Naomba nafasi yako samahani Sana
Natumain ombi litakubaliwa
0613859386 namba ya simu
Maombi yakujiunga na jeshi la kujenga taifa JKT mimi John na akilizangu timamu nimelidhia kujiunga na jeshi la kujenga taifa JKT, nakaa mkoa wa pwani wilaya ya chalinze naelimu ya shule ya msingi darasa lasaba namiaka 19 naujuzi wa driving.
JAMBO AFANDE NI MIMI KIJANA WENU RAIA WA TANZANIA NATUM MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFAA (J.K.T) KWA RIDHAA YANGUU MWENYW NA NIPOO TIYARI KULITUMIKIA JESHI HILO PIA NIPO TIAR KUFA LWA JILI YA KULINDA AMANI YA NCHI YANGU. 0612036596
Naitwa DAMSH ABDUL KALEMBO ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na kupata ufaulu wa daraja la nne(26), nipo teali kulitumikia jeshi la kujenga taifa (JKT), na kutii sheria na taratibu zote . Aidha nitajitoa katika shughuli zote za kimaendeleo pamoja na kujenga taifa . Natumaini ombi langu litafanikiwa. Ahsante. Mawasiliano: 0782796199
Naitwa DAMSH ABDUL KALEMBO ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na kupata ufaulu wa daraja la nne(26), nipo teali kulitumikia jeshi la kujenga taifa (JKT), na kutii sheria na taratibu zote . Aidha nitajitoa katika shughuli zote za kimaendeleo pamoja na kujenga taifa . Natumaini ombi langu litafanikiwa. Ahsante. Mawasiliano: 0782796199
Jambo afande kwa majna naitwa Najma Hafidh Jamadini . Nikijana mwenye umri wa miaka 19.Nimuhitimu wa kidato cha nne kwa daraja la Iv 27 mwaka 2022. Nipo tayari nakujiunga na jeshi la kujenga taifa(JKT),Nakutii sheria na taratibu zote na kujitolea katika shughuri zote zakimaendeleo na kujenga taifa. Natumain ombi langu litafanikiwa.
Asante.mawasiliano 0719275470
Habari Mimi kijana mwenye umri wa miaka 22 nimehitimu elimu ya stashahada natuma maombi ya kujiunga na jeshi la kujenga Taifa Jkt kwa kujitolea ,Natumaini ombi langu litapokelewa .Asante
Mawasiliano :0750997740
naitwa yahya salim ali mimi ni kijana wenu ninaomba munipatie nafasi ya jkt na ninaelimu ya kidato cha nne na nimepata daraja la 33 na ninaujuzi wa fundi magari wa chuoni Kwa mujibu wa mwaka 1 na nimerizia mimi mwenyewangu kwenda kulitumikia taifa la Tanzania kunikubalia kwenu ndio furaha kwangu m Nina miaka 22 naomba msaada kutok kwenu munisaidie kuipat nafasi ya jkt na na tumia ombilangu mutanikubalia asante. mawasiliano 0623245134
Naitwa grace William lyapinda ni kijana mwenye umri wa miaka 20 niliyehitimu kidato Cha nne ni raia wa Tanzania naomba kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga Taifa Kwa Nia Moja na dhahiri katika Taifa letu naimani ombi langu litapokelewa pamoja tutajenga Taifa
gracewiliam@gmail.com
0769037297
yahya salim ali mawasiliano nimeyakosea kidogo samahan ni 0624235134 haya ndio mawasiliano yangu mimi
Naitwa AUGUSTINO LUCAS ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nimehitimu kidato cha nne mwaka 2022 na kupata ufaulu wa daraja la nne(23), Nina fani ya ujuzi wa kompyuta,nipo teali kulitumikia jeshi la kujenga taifa (JKT), na kutii sheria na taratibu zote . Aidha nitajitoa katika shughuli zote za kimaendeleo pamoja na kujenga taifa . Natumaini ombi langu litafanikiwa. Ahsante. Mawasiliano: 0789388654
Naitwa AUGUSTINO LUCAS ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nimehitimu kidato cha nne mwaka 2022 na kupata ufaulu wa daraja la nne(23), Nina fani ya ujuzi wa kompyuta,nipo teali kulitumikia jeshi la kujenga taifa (JKT), na kutii sheria na taratibu zote . Aidha nitajitoa katika shughuli zote za kimaendeleo pamoja na kujenga taifa . Natumaini ombi langu litafanikiwa. Ahsante. Mawasiliano: 0789388654
Kwa majina naitwa frank ally salum nimraiya wa Tanzania ninamiaka kumi n 19 nilikua naomba nafasi ya mafunzo ya jkt nipo tayari kujitolea kwa kila jambo natumaini ombi langu litapokelewa Asante 0624164346
Naitwa plaxeda malekwa nina umri wa miaka 21 nimehitimu elimu ya sekondari mwaka 2016 na kujiendeleza katika fani ya tehama ngazi ya cheti, Ninaomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) ili niweze kulitumikia taifa langu katika ulinzi na nyanja mbalimbali na pia niko tayari kufuata Sheria na miongozo yote iliowekwa.
Ni matumaini yangu ombi langu litakubaliwa.
Mawasiliano
0684613958
Naitwa plaxeda malekwa nina umri wa miaka 21 nimehitimu elimu ya sekondari mwaka 2020 na kujiendeleza katika fani ya tehama ngazi ya cheti.
Ninaomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) ili niweze kulitumikia taifa langu katika ulinzi na nyanja mbalimbali na pia niko tayari kufuata Sheria na miongozo yote iliowekwa.
Ni matumaini yangu ombi langu litakubaliwa.
Mawasiliano
0684613958
Naitwa Davis Robinson luyembe ni kijana mtanzania mwenye umri was miaka 21.nimehitimu kidato Cha nne mwaka 2021 nakupata ufaulu wa daraja la nne (26).pia nina fani ya uchomeleaj nakutengeneza dirisha za alimnium nipo tayari kujiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) ilikukuza uzalendo wa taifa letu.natumai ombi langu lutakubaliwa.mawasiliano 0758342983
Jambo Afande, Naitwa Kassim Ramadhani Salehe, Natuma maombi ya kujiunga na mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa(JKT) kwa kujitolea Mwaka 2024.
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 20, nimehitimu elimu yangu ya sekondari mwaka 2024 katika shule ya sekondari Temboni (GVT), na kupata ufaulu wa daraja la nne ya 27 (division 4 point 27), pia ninakitambulisho cha Taifa pamoja na vyeti vyangu vya elimu ya sekondari pamoja na cheti cha kuzariwa .
Natumaini kuwa ombi langu litapokelewa na litajibiwa na kukubaliwa.
Kwa mawasiliano
0697381728/0716542327.
Mimi Ahimidiwe getsala mbwanji ni umri wa miaka 22.nimehitimu kidato Cha nne 2019 na kupata ufaulu wa dalaja LA nne.pia ninafani ya carpenter and joiner nipo tayari kujiunga na jeshi la kujenga taifa jkt .ilikukuza uzalendo wa taifa letu sijalazimishwa na mtu yeyote ni kupenda kwangu Toka moyoni.natuma ombi langu Asante.0765304846
Jambo Afande,Naitwa Kassim Ramadhani Salehe, natokea mkoa wa Dar es salaam, wilaya ya Ubungo.
Natuma maombi ya kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga Taifa(JKT) kwa kujitolea mwaka 2024.
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 20,nimehitimu elimu yangu ya sekondari mwaka 2021 katika shule ya sekondari Temboni (GVT), Na kupata ufaulu wa daraja la nne ya 27(division 4 point 27),pia nina kitambulisho cha Taifa, pamoja na vyeti vyangu vya kuhitimu elimu ya sekondari pamoja na cheti cha kuzariwa .
Natumaini kuwa ombi langu litapokelewa na litajibiwa na kukubaliwa
Kwa mawasiliano
0697381728/0716542327
Mimi Ahimidiwe mbwanji ninamika22 nihitimu elimu ya sekondali naomba nafasi ya kujiunga na jeshi 0765304846
Habari afande,mimi naitwa yohana alan nyato natokea mkoa wa morogoro tarafa ya turian ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 nimepata ufaulu wa daraja la nne (26) nina umri wa miaka 18 ni kijana wa kitanzania ambaye niko tayari kujiunga na jeshi la kujenga taifa yaan (jkt) kwa kujitolea na kupambana vikali zidi ya wavunjifu wa sheria na ninaahidi nitafuata sheria zote za jeshi bila kusita
Ni matumaini yangu ombi langu litapokelewa na kukubaliwa asanteni.
Kwa mawasiliano ÷0710205937
Naitwa SALUM MUSSA KITEMA ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nimehitimu kidato cha nne mwaka 2022 na kupata ufaulu wa daraja la nne(27), nipo tayari kulitumikia jeshi la kujenga taifa (JKT), na kutii sheria na taratibu zote . Aidha nitajitoa katika shughuli zote za kimaendeleo pamoja na kujenga taifa . Natumaini ombi langu litafanikiwa. Ahsante. Mawasiliano: 0618218087
Habari yako afande nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na daraja 4 ufaulu wa 28 na akil timamu nimeamua kutuma maombi haya kwa akili yang timamu nimeamua kuomba nafasi ya kujiunga na jeshi naumri wa miaka 20 pia na vyeti cha taifa ,cha kuzaliwa pamoja na cheti cha kuhitim elimu ya kidato cha nne majina yangu makoye nestory namba yangu ni 0783467391 mwanza ilemela
Naitwa Muarafat kalokola Najim nina umri wa miaka 23 elimu yangu ni kidato cha nne nimefahuru daraja la nne mimi kama mtanzania na mzalendo wa nchi yangu nipo tayari kujiunga na jeshi la kujenga Taifa jkt nina akili timamu na niko sawa kiafya nipo mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Ilala nitashukuru endapo ombi langu litakubaliwa kwa mawasiliano 0616890169
Nipo tayari 0612497600