Bei ya Magodoro ya Tanfoam, Magodoro ya Tanfoam ni maarufu sana nchini Tanzania kutokana na ubora wake na aina mbalimbali zinazopatikana sokoni. Kampuni ya Tanfoam Limited ilianzishwa mwaka 1966 na imeweza kujijengea jina kama mtengenezaji bora wa magodoro na bidhaa laini za nyumbani. Kiwanda chake kiko Arusha, Tanzania, na bidhaa zake zinapatikana kote nchini.
Aina na Bei za Magodoro ya Tanfoam
Magodoro ya Tanfoam yanapatikana katika ukubwa na aina tofauti, kila moja likiwa na bei tofauti kulingana na ubora na vipimo vyake. Hapa chini ni orodha ya bei za magodoro ya Tanfoam kwa mwaka 2024:
Magodoro ya Ukubwa wa 5×6
GRADE ONE:
- Nchi 6:
- Dodoma kava: Tsh 160,000
- Dodoma mkanda: Tsh 180,000
- COMFY kava: Tsh 160,000
- COMFY mkanda: Tsh 180,000
- Nchi 8:
- Comfy mkanda: Tsh 240,000
- Dodoma kava: Tsh 230,000
- Dodoma mkanda: Tsh 240,000
- Nchi 10:
- Comfy: Tsh 280,000
- Dodoma: Tsh 280,000
- Nchi 12:
- Dodoma: Tsh 340,000
- COMFY: Tsh 350,000
STANDARD:
- Nchi 8:
- Tuffoam cover: Tsh 170,000
- Tuffoam mkanda: Tsh 180,000
- Vitafoam mkanda: Tsh 180,000
- Nchi 10:
- TUFFOM: Tsh 230,000
- Nchi 12:
- TUFFORM: Tsh 290,000
Magodoro ya Ukubwa wa 6×6
GRADE ONE:
- Nchi 6:
- Dodoma: Tsh 230,000
- GSM Tanzanite: Tsh 350,000
- Comfy: Tsh 230,000
- Nchi 8:
- Dodoma: Tsh 280,000
- GSM Tanzanite: Tsh 390,000
- Comfy: Tsh 280,000
- Nchi 10:
- Dodoma: Tsh 330,000
- GSM Tanzanite: Tsh 450,000
- Comfy: Tsh 330,000
- Nchi 12:
- Dodoma: Tsh 390,000
- GSM Tanzanite: Tsh 520,000
- Comfy: Tsh 390,000
GRADE 2:
- Nchi 6:
- Tufffoam: Tsh 180,000
- Furaha: Tsh 185,000
- Nchi 8:
- Tufffoam: Tsh 240,000
- Furaha: Tsh 245,000
- Nchi 10:
- Tufffoam: Tsh 280,000
- Furaha: Tsh 285,000
- Nchi 12:
- Tufffoam: Tsh 340,000
- Furaha: Tsh 340,000
Magodoro ya Tanfoam yanajulikana kwa ubora wake na yanapatikana katika aina na ukubwa tofauti ili kukidhi mahitaji ya wateja mbalimbali.
Leave a Reply