Washindi Tuzo za TFF 2023/2024, Tuzo hizo zimepangwa kufanyika Agosti 1, 2024, katika ukumbi wa The Super Dome Masaki, Dar es Salaam. Kamati ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tayari imefanya uteuzi wa washiriki katika makundi mbalimbali ya tuzo hizo.
Makundi ya Tuzo za TFF 2023/2024
Tuzo za TFF 2023/2024 zimegawanyika katika makundi matano:
- Tuzo za Kombe la Shirikisho la CRDB
- Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake
- Tuzo za Ligi Kuu ya NBC
- Tuzo za Utawala
- Tuzo za Ligi nyingine
Wanaowania Tuzo na Washindi
Tuzo za Kombe la Shirikisho la CRDB
Mfungaji Bora:
- Clement Mzize – Yanga
- Edward Songo – JKT Tanzania
Kipa Bora:
- Djigui Diarra – Young Africans
- Khomein Abubakar – Ihefu SC
- Mohamed Mustafa – Azam FC
Mchezaji Bora:
- Aziz KI – Yanga
- Feisal Salum – Azam FC
- Clement Mzize – Yanga
- Ibrahim Bacca – Yanga
- Kipre Junior – Azam FC
Tuzo za Ligi Kuu ya NBC Tanzania
Kocha Bora:
- Miguel Gamondi – Young Africans (Mshindi)
- Bruno Ferry – Azam FC
- David Ouma – Coastal Union
Mchezaji Bora:
- Aziz KI – Yanga (Mshindi)
- Feisal Salum – Azam
- Kipre Junior – Azam
- Djigui Diarra – Yanga
- Ley Matampi – Coastal
- Attohoula Yao – Yanga
- Ibrahim Bacca – Yanga
- Mohamed Hussein – Simba
Beki Bora:
- Attohoula Yao – Young Africans
- Ibrahim Bacca – Young Africans (Mshindi)
- Mohamed Hussein – Simba SC
Golikipa Bora:
- Djigui Diarra – Young Africans
- Ley Matampi – Coastal Union (Mshindi)
- Ayoub Lakred – Simba SC
Kiungo Bora:
- Feisal Salum – Azam FC (Mshindi)
- Aziz KI – Yanga SC
- Kipre Junior – Azam FC
Mchezaji Bora Chipukizi:
- Semfuko Charles – Coastal
- Shomary Raheem – KMC (Mshindi)
- Costantine Malimigeita
Seti Bora ya Waamuzi:
- Simba SC 1-5 Young Africans; Ref-Ahmed Arajiga, Asst-Mohamed Mkono, Asst-Kassim Mpanga, 4th -Ramadhan Kayoko
- Azam FC 2-1 Young Africans; Ref-Hery Sasii, Asst-Frank Komba, Asst-Kassim Mpanga, 4th -Isihaka Mwalile (Mshindi)
Mwamuzi Msaidizi Bora:
- Frank Komba
- Mohammed Mkono (Mshindi)
- Kassim Mpanga
- Janeth Balama
- Zawadi Yusuph
Mwamuzi Bora:
- Tatu Malogo
- Ahmed Arajiga (Mshindi)
- Abdallah Mwinyimkuu
- Amina Kyando
- Hery Sasii
- Saad Mrope
Timu Yenye Nidhamu:
- Ihefu
- Kagera Sugar
- Mtibwa Sugar (Mshindi)
Tuzo za Utawala
Meneja Bora:
- Amir Juma – Azam Complex (Mshindi)
- Nasser Makau – Mkwakwani
- Shaaban Raiabu – Lake Tanganyika
Kamishina Bora:
- Martin Kibua – Tanga
- Zena Chande – Dar es Salaam (Mshindi)
- Hamis Kitila – Singida
- Sadick Jumbe – Mbeya
Tuzo za Ligi Nyingine
Mchezaji Bora NBC Championship:
- Boban Bogere – Biashara Utd
- Casto Mhagama – Kengold FC (Mshindi)
- Edgar William – Kengold FC
Mchezaji Bora First League:
- Mohamed Bakari – African Sports (Mshindi)
- Ayoub Masudi – African Sports
- Ahmad Ndondi – Malimao
Mchezaji Bora Ligi ya U-20:
- Bruno Nataly – Kagera Sugar
- Omary Shaaban – Mwinyimvua-Dodoma Jiji
- Ally Mohamed Golo – Azam
Mchezaji Bora Beach Soccer:
- Jaruph Rajabu Juma – Friends of Mkwajuni 2
- Yahya Tumbo – Vingunguti Kwanza
- Abdillah Mohammed – Rata FC
Mchezaji Bora Anayecheza Nje (Me):
- Mbwana Samatta
- Novatus Dismas
- Himid Mao
Mchezaji Bora Anayecheza Nje (Ke):
- Clara Luvanga
- Aisha Masaka
- Oppah Clement
Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake
Mfungaji Bora:
- Aisha Mnuka – Simba Queens (Mshindi)
Kipa Bora:
- Najath Abbas – JKT Queens
- Caroline Rufaa – Simba Queens
- Mariam Shaaban – Bunda Queens
Mchezaji Bora:
- Aisha Mnuka – Simba Queens
- Stumai Abdallah – JKT Queens
- Kaecla Wilson – Yanga Princess
- Violath Nicholaus – Simba Queens
- Vivian Corazone – Simba Queens
Kocha Bora:
- Juma Mgunda – Simba Queens (Mshindi)
- Esther Chabruma – JKT Queens
- Noah Kanyoga – Ceasiaa Queens
Mchezaji Bora Chipukizi:
- Esther Maseke – Bunda Queens
- Lyidia Kabambo – JKT Queens (Mshindi)
- Bituro Mgosi – Bunda Queens
Mwamuzi Msaidizi Bora:
- Sikudhan Mkurungwa
- Glory Tesha
- Zawadi Yusuph (Mshindi)
- Monica Wazael
- Getruda Gervas
Mwamuzi Bora:
- Amina Kyando
- Tatu Malogo
- Anitha Kisoma
- Esther Adalbert
Timu Yenye Nidhamu:
- Bunda Queens
- Simba Queens (Mshindi)
Tuzo za TFF 2023/2024 ni fursa nzuri ya kutambua na kusherehekea mafanikio ya wachezaji, makocha, na viongozi katika soka la Tanzania.
Tunawapongeza washindi wote na wale walioteuliwa, kwani mchango wao unathaminiwa sana katika kuendeleza soka la nchi yetu. Huu ni wakati wa kujivunia na kuendelea kujituma zaidi kwa mafanikio ya baadaye.
Soma Zaidi:
Tuachie Maoni Yako