Wachezaji wa Simba Walioitwa Timu ya Taifa AFCON 2025

Wachezaji wa Simba Walioitwa Timu ya Taifa kwa Mashindano ya AFCON 2024- 2025, Kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kimejumuisha wachezaji kadhaa kutoka klabu ya Simba SC. Hawa ni wachezaji wa Simba waliochaguliwa kuwakilisha timu ya taifa:

Orodha ya Wachezaji wa Simba

  • Ally Salim – Golikipa
  • Mohamed Hussein – Beki
  • Edwin Balua – Kiungo

Wachezaji hawa wameonyesha uwezo mkubwa katika klabu yao ya Simba SC, na sasa wanatarajiwa kutoa mchango muhimu katika safari ya Taifa Stars kuelekea AFCON 2025.

Mapendekezo;

Uwepo wao katika kikosi cha taifa ni ushahidi wa ubora wa klabu ya Simba katika kukuza na kuendeleza vipaji vya wachezaji wake.

Nimebobea kwenye uandaaji wa makala za mtandaoni, Makala zilizofanyiwa uchunguzi wa kina.