Vyuo Vya Clinical Officer Tanzania Cheti na Diploma

Vyuo Vya Clinical Officer Tanzania Cheti na Diploma, Katika sekta ya afya nchini Tanzania, wahudumu wa afya kama vile Clinical Officers wana jukumu muhimu sana katika kutoa huduma bora za afya.

Hii inafanya kuwa muhimu kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na taaluma hii kuweza kupata mafunzo bora. Katika makala hii, tutataja vyuo vyote vinavyotoa diploma na cheti katika Tiba ya Clinical nchini Tanzania.

Vyuo vya Umma vinavyotoa Mafunzo ya Clinical Medicine

  1. Clinical Officers Training Centre Mtwara – Mtwara
  2. Clinical Officers Training Centre Songea – Ruvuma
  3. Njombe Institute of Health and Allied Sciences (NIHAS) – Njombe
  4. Dental Therapists Training Centre Tanga – Tanga
  5. Mbeya College of Health Sciences – Mbeya
  6. Lugalo Military Medical School – Dar es Salaam
  7. Clinical Officers Training Centre Kigoma – Kigoma
  8. Masasi Clinical Officers Training Centre – Mtwara
  9. Kilosa Clinical Officers Training Centre – Morogoro
  10. Kibaha College of Health and Allied Sciences – Pwani
  11. Primary Health Care Institute – Iringa
  12. Clinical Officers Training Centre Sumbawanga – Rukwa
  13. Clinical Officers Training Centre Musoma – Mara
  14. KCMC AMO General School – Kilimanjaro
  15. AMO Training Centre Tanga – Tanga
  16. School of Dental Therapists Mbeya – Mbeya
  17. Clinical Officers Training Centre Mafinga – Iringa
  18. Centre for Educational Development in Health Arusha – Arusha
  19. Clinical Officers Training Centre Maswa – Simiyu
  20. Clinical Officers Training Centre Lindi – Lindi

Vyuo vya Kibinafsi vinavyotoa Mafunzo ya Clinical Medicine

  1. Mgao Health Training Institute – Njombe
  2. New Mkombozi Health Institute – Mbeya
  3. Musoma Utalii Training College – Tabora
  4. Mkolani Foundation Health Sciences Training Institute – Mwanza
  5. City College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam
  6. Kam College of Health Sciences – Dar es Salaam
  7. Kahama College of Health Sciences – Shinyanga
  8. Rubya Health Training Institute – Kagera
  9. Rao Health Training Centre – Mara
  10. Furaha Health Training College – Rukwa
  11. Haydom Institute of Health Sciences – Manyara
  12. Msongola Health Training Institute – Dar es Salaam
  13. Decca College of Health and Allied Sciences – Dodoma
  14. K’s Royal College of Health Sciences – Mbeya
  15. Kisare College of Health Sciences – Mara
  16. Mvumii Institute of Health Sciences – Dodoma
  17. Tandabui Institute of Health Sciences and Technology – Mwanza
  18. Tanzanian Training Centre for International Health – Morogoro
  19. Besha Health Training Institute – Tanga
  20. Uyole Health Sciences Institute – Mbeya
  21. Faraja Health Training Institute – Kilimanjaro
  22. Ilembula Institute of Health and Allied Sciences – Njombe
  23. Tabora Institute – Tabora
  24. Ndolage Institute of Health Sciences – Kagera
  25. Karatuh Health Training Institute – Arusha
  26. Paradigms College of Health Sciences – Dar es Salaam
  27. St. Bakhita Health Training Institute – Rukwa
  28. Clinical Officers Training Centre Musoma – Mara
  29. Machame Health Training Institute – Kilimanjaro
  30. Mlimba Institute of Health and Allied Science – Morogoro
  31. St. Augustine Muheza Institute of Health Sciences – Tanga
  32. Sengerema Health Training Institute – Mwanza
  33. St. John College of Health – Mbeya
  34. Rukwa College of Health Sciences – Rukwa
  35. Bulongwa Health Sciences Institute – Njombe
  36. Chato College of Health Sciences and Technology – Geita
  37. Elijerry Training Centre – Tanga
  38. Kigamboni City College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam
  39. Clinical Officers Training Centre Bumbuli – Tanga
  40. Amenye Health Training Institute – Mbeya
  41. St. David College of Health Sciences – Dar es Salaam
  42. Muyoge College of Health Sciences and Management – Iringa
  43. Suye Health Institute – Arusha
  44. Kolandoto College of Health Sciences – Shinyanga
  45. Excellent College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam
  46. Victoria Institute of Health and Allied Sciences – Mwanza
  47. Tosamaganga Institute of Health and Allied Sciences – Iringa
  48. St. Aggrey College of Health Science – Mbeya
  49. Tumaini Jipya Medical Training College – Iringa
  50. Nkinga Institute of Health Sciences – Tabora
  51. Padre Pio College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam
  52. Zanzibar School of Health – Zanzibar

Vyuo vya clinical officer nchini Tanzania vinatoa fursa nzuri kwa wanafunzi wanaotaka kujifunza na kuwa wataalamu katika sekta ya afya.

Ni muhimu kwa wanafunzi kufanya utafiti kuhusu vyuo hivi na kuzingatia vigezo vya kujiunga navyo ili kupata elimu bora inayowakidhi mahitaji ya soko la kazi.

Ikiwa unataka kuomba fomu za maombi za clinical officer, unaweza kutembelea tovuti za vyuo hivi au ofisi zao za usajili kwa maelezo zaidi.

Mapendekezo:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.