Vifurushi vya internet TTCL Menu na Bei 2024

Vifurushi vya internet TTCL Menu na Bei 2024, Tanzania Telecommunication Corporations (TTCL), zamani ikijulikana kama Tanzania Telecommunications Company Limited, ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge, ‘Sheria ya Kuanzishwa Kampuni ya Mawasiliano Tanzania ya 1993’.

Vifurushi vya Internet vya TTCL

TTCL inatoa vifurushi vya internet vinavyokidhi mahitaji ya kila mtumiaji. Hapa utapata menyu ya vifurushi vya TTCL kwa wanafunzi wa vyuo, vifurushi vya TTCL 2024, internet ya fiber ya TTCL, bando za TTCL, vifurushi vya TTCL vya mwaka 2024, vifurushi vya TTCL kwa watumishi, njia za kuangalia salio la TTCL, na bando la usiku la TTCL.

T-Connect

Vifurushi vya Kila Siku

Mpango Kiasi Bei (TZS)
Daily 100MB 300
Daily 250MB 500
Daily 600MB 1,000
Daily 1GB 1,500
Daily 2GB 2,000

Vifurushi vya Kila Wiki

Mpango Kiasi Bei (TZS)
Weekly 500MB 2,000
Weekly 1GB 3,000
Weekly 2GB 5,000
Weekly 4GB 8,000
Weekly 10GB 10,000

Vifurushi vya Kila Mwezi

Mpango Kiasi Bei (TZS)
Monthly 1GB 5,000
Monthly 3GB 10,000
Monthly 5GB 15,000
Monthly 10GB 25,000
Monthly 20GB 40,000
Monthly 50GB 100,000
Monthly 100GB 200,000
Monthly 200GB 400,000

BOOM PACK

Vifurushi vya Kila Siku

Mpango Kiasi Bei (TZS)
Daily 400MB 250
Daily 800MB 500

Vifurushi vya Kila Wiki

Mpango Kiasi Bei (TZS)
Weekly 1.5GB 1,500
Weekly 3GB 2,000

Vifurushi vya Kila Mwezi

Mpango Kiasi Bei (TZS)
Monthly 2GB 1,500
Monthly 4GB 3,000
Monthly 7GB 5,000

JIACHIE (Non-Expiry Pack)

Kiasi Bei (TZS) Muda
300MB 500 Bila Muda
500MB 1,000 Bila Muda
1GB 3,000 Bila Muda
2GB 5,000 Bila Muda

TOBOA (Night Pack)

Muda Kiasi Bei (TZS)
Daily (00:00hrs – 06:00hrs) 2GB 500
Daily (00:00hrs – 06:00hrs) 10GB 1,000

USIPITWE (Social Media Pack)

Mitandao ya Kijamii Kiasi Bei (TZS) Muda
WhatsApp, Facebook, Instagram na Snapchat 500MB 300 Daily
WhatsApp, Facebook, Instagram na Snapchat 1GB 500 Weekly
WhatsApp, Facebook, Instagram na Snapchat 3GB 1,000 Monthly

Kujiunga na Vifurushi vya TTCL

Kujiunga na vifurushi vya TTCL, piga *148*30#.

TTCL inatoa vifurushi vya internet vinavyokidhi mahitaji ya kila mtumiaji. Jiunge na kifurushi kinachokufaa leo na ufurahie huduma bora kutoka TTCL.

Soma Zaidi:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.