Timu zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025 CAFCL

Timu zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025 CAFCL, Timu Zilizofuzu Caf Confederation 2024/25, simu wa 2024/2025 wa Kombe la Shirikisho CAF unaahidi burudani kali baada ya hatua za mtoano za raundi ya mwisho kukamilika tarehe 22 Septemba 2024.

Timu bora kutoka pembe zote za Afrika zimejihakikishia nafasi kwenye makundi, tayari kupambana kuwania taji hili lenye hadhi kubwa barani Afrika.

Timu Zilizofuzu Caf Confederation 2024/25

Hizi hapa ni timu zilizofuzu rasmi kushiriki hatua ya makundi:

Nafasi Timu Nchi
1 Stade Malien Mali
2 Zamalek SC Misri
3 RS Berkane Morocco
4 CD Lunda Sul Angola
5 CS Sfaxien Tunisia
6 Constantine Algeria
7 Simba SC Tanzania
8 Orapa United Botswana
9 Bravos do Maquis Angola
10 Stellenbosch Afrika Kusini

Kila moja ya timu hizi inatarajiwa kuleta ushindani mkubwa na mbinu mbalimbali kwenye hatua ya makundi, ikilenga kuhakikisha nafasi yao ya kutinga hatua za mtoano.

CAF Confederation 2024/2025: Timu Zilizofuzu

Ligi hii ya pili kwa umaarufu katika soka la vilabu barani Afrika, imevutia timu nyingi bora na zenye uzoefu wa hali ya juu.

Msimu huu utakuwa na mvuto wa kipekee, kwani kila timu inajitahidi kutumia kila nafasi ili kupata ushindi na utukufu katika soka la Afrika. Je, ni timu ipi itaibuka kinara? Ni suala la muda tu kabla ya kujua.

Mapendekezo:

Tunaendelea kusubiri matokeo na kusisimka kwa burudani itakayokuja.

Kwa habari zaidi za michuano ya CAF 2024/2025, bonyeza hapa.

Nimebobea kwenye uandaaji wa makala za mtandaoni, Makala zilizofanyiwa uchunguzi wa kina.