Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, iliyoanzishwa chini ya ibara ya 74(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, imeendelea kuwa mhimili muhimu katika kuhakikisha uwazi na usawa kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kwa mujibu wa ibara ya 74(7) na (11) ya Katiba, pamoja na ibara ya 6(1) ya Sheria mpya ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba 2 ya mwaka 2024, Tume hii ni chombo kinachojitegemea katika maamuzi yake.
Haina ulazima wa kufuata amri au maelekezo kutoka kwa mtu yeyote au idara yoyote ya serikali, wala vyama vya siasa.
Historia ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
Mwaka 1991, Rais wa wakati huo, Hayati Ali Hassan Mwinyi, aliteua Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya Uenyekiti wa Marehemu Jaji Mkuu Mstaafu, Francis Nyalali. Tume hii ilikuwa na jukumu la kuhakikisha kuwa Tanzania inajitayarisha vyema kwa mfumo wa vyama vingi, hatua iliyokuwa muhimu kufuatia marekebisho ya sheria mbalimbali zilizokuwa zinaongoza mfumo wa uchaguzi.
Kufuatia marekebisho hayo, Tume ilianzishwa rasmi tarehe 13 Januari, 1993, na mwaka 2021 ulifanyika mkutano wa wadau mbalimbali wa siasa kujadili hali ya demokrasia nchini. Mkutano huo, ulioitishwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, uliweka misingi ya kuboresha zaidi hali ya kisiasa nchini, na hatimaye kuunda kikosi kazi cha kuangalia upya hali ya demokrasia na kutoa mapendekezo.
Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC 2024/2025
Kwa mwaka wa uchaguzi wa 2024, Tume imefanya maandalizi kabambe kuhakikisha kuwa wagombea wanaostahili wanapatikana kwa njia ya haki. Kwa mujibu wa taratibu, wale walioteuliwa wamealikwa kwenye usaili kwa ajili ya nafasi mbalimbali.
Majina ya walioitwa kwenye usaili wa NEC kwa mwaka 2024/2025 yanapatikana kwenye tovuti rasmi ya Tume ya Uchaguzi. Aidha, orodha hiyo imewekwa pia kwenye PDF inayopatikana kwa urahisi kwa kupakua moja kwa moja kupitia linki rasmi ya NEC.
Orodha ya Wanaoitwa kwenye Usaili (NEC PDF)
Ili kupata majina hayo:
- Tembelea tovuti rasmi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
- Pakua PDF yenye majina ya walioitwa kwenye usaili kwa mwaka 2024/2025.
- PDF hiyo imeandaliwa kwa urahisi wa kusoma na imegawanywa kulingana na majina na mikoa ya wagombea.
Sheria Zinazohusiana na Uchaguzi wa Vyama Vingi
Marekebisho ya sheria yaliyofanyika yameweka msingi thabiti wa mfumo wa vyama vingi nchini. Sheria ya Vyama vya Siasa (Na. 5 ya 1992), Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (Na. 1 ya 1985), na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa (Na. 4 ya 1979) zote zimefanyiwa mabadiliko ili kuondoa mfumo wa chama kimoja na kuruhusu demokrasia kushamiri.
Linki ya Kupakua PDF ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC 2024/2025:
Pakua PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC 2024/2025
Manyoni west Council | Download PDF |
Meatu | Download PDF |
Rorya district | Download PDF |
Maswa | Download PDF |
Busega | Download PDF |
Bunda District | Download PDF |
Mbulu | Download PDF |
Butiama | Download PDF |
Musoma | Download PDF |
Serengeti | Download PDF |
Binda town | Download PDF |
Butiama District | Download PDF |
Babati Town | Download PDF |
Babati District | Download PDF |
Bukoba | Download PDF |
Masala | Download PDF |
Sengerema | Download PDF |
Misungwi | Download PDF |
Nzega Village | Download PDF |
Bukene | Download Pdf |
Katavi | Download Pdf |
Tarime | Download Pdf |
Kwa taarifa zaidi kuhusu uchaguzi na namna ya kujiandaa kwa usaili, tembelea tovuti ya NEC na fuatilia matangazo rasmi.
Kwa Taarifa Zaidi Tembele Ukurasa Wa INEC: https://www.inec.go.tz/
Kwa wale walioitwa kwenye usaili wa mwaka huu, ni nafasi ya kipekee ya kushiriki katika mchakato wa kuimarisha demokrasia nchini Tanzania.
Fuatilia majina hayo kupitia PDF iliyowekwa kwa urahisi mtandaoni, na hakikisha unafanya maandalizi bora kwa ajili ya usaili huo. Kumbuka, Tume ya Taifa ya Uchaguzi iko huru na inafanya kazi kwa kuzingatia misingi ya sheria na katiba ya nchi.
MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili
Soma Zaidi:
- Majina Ya Waliochaguliwa Kuandikisha Wapiga Kura 2024 Tabora
- Majina Ya Waliochaguliwa Kuandikisha Wapiga Kura 2024 Mwanza
- Majina Ya Waliochaguliwa Kuandikisha Wapiga Kura 2024 Morogoro
- Majina ya Waliochaguliwa Kuandikisha Wapiga Kura 2024 Dodoma
- Majina Ya Waliochaguliwa Kuandikisha Wapiga Kura 2024
- Kupata Kadi ya Mpiga Kura iliyopotea
- Kuanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Agosti 5, 2024
No names
NEC
Njombe lini majina yanatoka
Mbeya lin yanatok
Moshi lini yanatoka
Moshi yanatoka siku gani 🙏
Moshi lini yanatoka