Orodha ya Wakuu wa wilaya Tanzania 2024

Orodha ya Wakuu wa wilaya Tanzania 2024, Wakuu wa wilaya wapya 2024, Mabadiliko ya wakuu wa wilaya,  Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya katika Mikoa ya Tanzania Bara. Huu ni mchakato muhimu wa kuboresha uongozi na maendeleo nchini. Hapa chini ni orodha ya Wakuu wa Wilaya waliochaguliwa:

Mkoa wa Arusha (1)

  1. Sophia Edward Mjema – Mkuu wa Wilaya ya Arusha
  2. Eng. Richard Henry Ruyango – Mkuu wa Wilaya ya Arumeru
  3. Raymond Stephen Mangwala – Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro
  4. Nurdin Hassan Babu – Mkuu wa Wilaya ya Longido
  5. Frank James Mwaisumbe – Mkuu wa Wilaya ya Monduli
  6. Abbas Juma Kayanda – Mkuu wa Wilaya ya Karatu

Mkoa wa Dar es Salaam (2)

  1. Godwin Crydon Gondwe – Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni
  2. Ng’wilabuza Ndatwa Ludigija – Mkuu wa Wilaya ya Ilala
  3. Jokate Urban Mwegelo – Mkuu wa Wilaya ya Temeke
  4. Fatma Almas Nyangasa – Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni
  5. Kherry Denis James – Mkuu wa Wilaya ya Ubungo

Mkoa wa Dodoma (3)

  1. Gift Isaya Msuya – Mkuu wa Wilaya ya Chamwino
  2. Jabir Mussa Shekimweri – Mkuu wa Wilaya ya Dodoma
  3. Simon Kemori Chacha – Mkuu wa Wilaya ya Chemba
  4. Khamis Athumani Mkanachi – Mkuu wa Wilaya ya Kondoa
  5. Mwanahamisi A. Munkunda – Mkuu wa Wilaya ya Bahi
  6. Josephat Paul Maganga – Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa
  7. Remedius Mwema Emmanuel – Mkuu wa Wilaya ya Kongwa

Mkoa wa Geita (4)

  1. Said Juma Nkumba – Mkuu wa Wilaya ya Bukombe
  2. Eng. Charles Francis Kabeho – Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe
  3. Jamuhuri David William – Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale
  4. Wilson Samwel Shimo – Mkuu wa Wilaya ya Geita
  5. Martha John Mkupasi – Mkuu wa Wilaya ya Chato

Mkoa wa Iringa (5)

  1. Saada Ahmed Mtambule – Mkuu wa Wilaya ya Mufindi
  2. Peres Boniphace Magiri – Mkuu wa Wilaya ya Kilolo
  3. Mohamed Hassan Moyo – Mkuu wa Wilaya ya Iringa

Mkoa wa Kagera (6)

  1. Kemirembe R. Lwota – Mkuu wa Wilaya ya Biharamuro
  2. Juliet Banyula Nkebanyi – Mkuu wa Wilaya ya Karagwe
  3. Toba Alnason Nguvila – Mkuu wa Wilaya ya Muleba
  4. Rashid Mwaimu Mohamed – Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa
  5. Moses Joseph Machali – Mkuu wa Wilaya ya Bukoba
  6. Col. Mathias Julius Kahabi – Mkuu wa Wilaya ya Ngara
  7. Col. W.C. Sakullo – Mkuu wa Wilaya ya Misenyi

Mkoa wa Katavi (7)

  1. Filberto Hassan Sanga – Mkuu wa Wilaya ya Mlele
  2. Jamila Yusuph Kimaro – Mkuu wa Wilaya ya Mpanda
  3. Onesmo Mpuya Buswelu – Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika

Mkoa wa Kigoma (8)

  1. Ester Alexander Mahawe – Mkuu wa Wilaya ya Kigoma
  2. P 8608 Col. I. A. Mwakisu – Mkuu wa Wilaya ya Kasulu
  3. Col. E. M. Malasa – Mkuu wa Wilaya ya Kakonko
  4. Hanafi Hassan Msabaha – Mkuu wa Wilaya ya Uvinza
  5. Col. Michael Masala Nyayalina – Mkuu wa Wilaya ya Buhingwe
  6. P 8310 Col. A. J. Magwaza – Mkuu wa Wilaya ya Kibondo

Mkoa wa Kilimanjaro (9)

  1. Thomas Cornel Apson – Mkuu wa Wilaya ya Siha
  2. Said Mtanda – Mkuu wa Wilaya ya Moshi
  3. Abdallah Mussa Mwaipaya – Mkuu wa Wilaya ya Mwanga
  4. Col. H. M. Maiga – Mkuu wa Wilaya ya Rombo
  5. Juma Said Irando – Mkuu wa Wilaya ya Hai
  6. Edward Jonas Mpogolo – Mkuu wa Wilaya ya Same

Mkoa wa Lindi (10)

  1. Hashim Abdallah Komba – Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea
  2. Hassan Nassor Ngoma – Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa
  3. Judith Martin Nguli – Mkuu wa Wilaya ya Liwale
  4. Shaibu Issa Ndemanga – Mkuu wa Wilaya ya Lindi
  5. Zainab Rashid Mfaume Kawawa – Mkuu wa Wilaya ya Kilwa

Mkoa wa Manyara (11)

  1. Lazaro Jacob Twange – Mkuu wa Wilaya ya Babati
  2. Sezaria Venneranda Makota – Mkuu wa Wilaya ya Mbulu
  3. Janeth Peter Mayanja – Mkuu wa Wilaya ya Hanang
  4. Mbaraka Alhaji Batenga – Mkuu wa Wilaya ya Kiteto
  5. Dkt. Suleiman Hassan Serera – Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro

Mkoa wa Mara (12)

  1. Juma Issa Chikoka – Mkuu wa Wilaya ya Rorya
  2. Dkt. Vicent Mashinji – Mkuu wa Wilaya ya Serengeti
  3. Joshua Samwel Nassari – Mkuu wa Wilaya ya Bunda
  4. Mwl. Moses Rudovick Kaegele – Mkuu wa Wilaya ya Butiama
  5. Lt. Col. Michael Mangwela Mtenjele – Mkuu wa Wilaya ya Tarime
  6. Dkt. Halfan Haule – Mkuu wa Wilaya ya Musoma

Mkoa wa Mbeya (13)

  1. Mayeka Simon Mayeka – Mkuu wa Wilaya ya Chunya
  2. SACP. Ismail Twahir Mlawa – Mkuu wa Wilaya ya Kyela
  3. Dkt. Rashid Chuachua – Mkuu wa Wilaya ya Mbeya
  4. Dkt. Vicent Naano Anney – Mkuu wa Wilaya ya Rungwe
  5. Reuben Ndiza Mfune – Mkuu wa Wilaya ya Mbarali

Mkoa wa Morogoro (14)

  1. Jabir Omary Makame – Mkuu wa Wilaya ya Gairo
  2. Hanji Yusuph Godigodi – Mkuu wa Wilaya ya Kilombero
  3. Halima Habib Okash – Mkuu wa Wilaya ya Mvomero
  4. Albert Msando – Mkuu wa Wilaya ya Morogoro
  5. Ngollo Ng’waniduhu Malenya – Mkuu wa Wilaya ya Ulanga
  6. Majid Hemed Mwanga – Mkuu wa Wilaya ya Kilosa
  7. Mathayo Francis Masele – Mkuu wa Wilaya ya Malinyi

Mkoa wa Mtwara (15)

  1. Mwangi Rajab Kundya – Mkuu wa Wilaya ya Newala
  2. Mariam Khatib Chaurembo – Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu
  3. Dunstan Dominick Kyobya – Mkuu wa Wilaya ya Mtwara
  4. Claudia Undalusyega Kitta – Mkuu wa Wilaya ya Masasi
  5. Col. Patrick K. Sawala – Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba

Mkoa wa Mwanza (16)

  1. Hassan Elias Massalla – Mkuu wa Wilaya ya Ilemela
  2. Johari Mussa Samizi – Mkuu wa Wilaya ya Kwimba
  3. Senyi Simon Ngaga – Mkuu wa Wilaya ya Sengerema
  4. Amina Makilagi – Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana
  5. Salum Hamis Kalli – Mkuu wa Wilaya ya Magu
  6. Col. Denis Filangali Mwila – Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe
  7. Veronika Arbogast Kessy – Mkuu wa Wilaya ya Misungwi

Mkoa wa Njombe (17)

  1. Kisa Gwakisa Kasongwa – Mkuu wa Wilaya ya Njombe
  2. Andrea Axwesso Tsere – Mkuu wa Wilaya ya Ludewa
  3. Lauter John Kanoni – Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe
  4. Juma Samwel Sweda – Mkuu wa Wilaya ya Makete

Mkoa wa Pwani (18)

  1. Zainab Abdallah Issah – Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo
  2. Khadija Nassir Ali – Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga
  3. P 10699 Capt. Gowelle – Mkuu wa Wilaya ya Rufiji
  4. Martin Stephen Ntemo – Mkuu wa Wilaya ya Mafia
  5. Sara Ally Msafiri – Mkuu wa Wilaya ya Kibaha
  6. Nickson Simon John – Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
  7. P 8189 Col. Ahmed A. A – Mkuu wa Wilaya ya Kibiti

Mkoa wa Rukwa (19)

  1. Sebastian Muungano Waryuba – Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga
  2. Peter Ambrose Lijuakali – Mkuu wa Wilaya ya Nkasi
  3. Tano Seif Mwera – Mkuu wa Wilaya ya Kalambo

Mkoa wa Ruvuma (20)

  1. Julius Keneth Ningu – Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo
  2. Aziza Ally Mangosango – Mkuu wa Wilaya ya Mbinga
  3. P 8819 Col. L. E Thomas – Mkuu wa Wilaya ya Nyasa
  4. Julius Sunday Mtatiro – Mkuu wa Wilaya ya Tunduru
  5. Polotet Kamando Mgema – Mkuu wa Wilaya ya Songea

Mkoa wa Shinyanga (21)

  1. Joseph Modest Mkude – Mkuu wa Wilaya ya Kishapu
  2. Jasinta Venant Mboneko – Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga
  3. Festo Kiswaga – Mkuu wa Wilaya ya Kahama

Mkoa wa Simiyu (22)

  1. Gabriel Zakaria Olemegili – Mkuu wa Wilaya ya Busega
  2. Aswege Enock Kaminyoge – Mkuu wa Wilaya ya Maswa
  3. Dkt. Charles Mhina – Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
  4. Fauzia Hamidu Ngatumbura – Mkuu wa Wilaya ya Meatu
  5. Faiza Suleiman Salim – Mkuu wa Wilaya ya Itilima

Mkoa wa Singida (23)

  1. Sophia Mfaume Kizigo – Mkuu wa Wilaya ya Mkalama
  2. Rahabu Jackson Mwagisa – Mkuu wa Wilaya ya Manyoni
  3. Paskasi Damian Murangili – Mkuu wa Wilaya ya Singida
  4. Jerry Cornel Muro – Mkuu wa Wilaya ya Ikungi
  5. Kenan Laban Kihongozi – Mkuu wa Wilaya ya Iramba

Mkoa wa Songwe (24)

  1. Simon Peter Simalenga – Mkuu wa Wilaya ya Songwe
  2. Anna Jerome Gidarya – Mkuu wa Wilaya ya Ileje
  3. Cosmas Isuna Nshenye – Mkuu wa Wilaya ya Mbozi
  4. Fack Raphael Lulandala – Mkuu wa Wilaya ya Momba

Mkoa wa Tabora (25)

  1. ACP. Advera John Bulimba – Mkuu wa Wilaya ya Nzega
  2. Matiko Paul Chacha – Mkuu wa Wilaya ya Kaliua
  3. Sauda Salum Mtondoo – Mkuu wa Wilaya ya Igunga
  4. John Ernest Pallingo – Mkuu wa Wilaya ya Sikonge
  5. Dkt. Yahya Ismail Nawanda – Mkuu wa Wilaya ya Tabora
  6. Louis Peter Bura – Mkuu wa Wilaya ya Urambo
  7. Kisare Matiku Makori – Mkuu wa Wilaya ya Uyui

Mkoa wa Tanga (26)

  1. Hashim Shaibu Mgandilwa – Mkuu wa Wilaya ya Tanga
  2. Halima Abdallah Bulembo – Mkuu wa Wilaya ya Muheza
  3. P 8576 Col. M. H Surumbu – Mkuu wa Wilaya ya Mkinga
  4. Ghaibu Buller Lingo – Mkuu wa Wilaya ya Pangani
  5. Siriel Mchembe – Mkuu wa Wilaya ya Handeni
  6. Basilla Kalubha Mwanukuzi – Mkuu wa Wilaya ya Korogwe
  7. Abel Yeji Busalama – Mkuu wa Wilaya ya Kilindi
  8. Kalist Lazaro Bukhay – Mkuu wa Wilaya ya Lushoto

Mabadiliko haya yanaonyesha jinsi Rais anavyofanya juhudi za kuimarisha uongozi na huduma za jamii. Tuna matumaini makubwa kwamba Wakuu hawa wa Wilaya wataleta mabadiliko chanya katika maeneo yao.

Taarifa Zaidi: https://www.ikulu.go.tz/

Soma Zaidi:

Nimebobea kwenye uandaaji wa makala za mtandaoni, Makala zilizofanyiwa uchunguzi wa kina.