Nafasi za Kujitolea JKT Www JKT go TZ 2025/2026 PDF, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza rasmi nafasi za kujitolea kwa vijana wa Tanzania Bara na Zanzibar kwa mwaka 2024. Hii ni fursa adimu kwa vijana wenye sifa kujiunga na jeshi hili, lengo kuu likiwa ni kujenga kizazi chenye uzalendo, ujuzi wa kivitendo, na maandalizi ya kujitumikia taifa kwa moyo mmoja.
Taarifa hii imetolewa leo na Kaimu Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Kanali Juma Mrai, katika mkutano uliofanyika kwenye Makao Makuu ya JKT, Chamwino, mkoani Dodoma, ambapo alizungumza kwa niaba ya Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele.
Tuachie Maoni Yako