Nafasi za Jeshi JWTZ 2024/2025 Kujiunga Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Nafasi za Kazi Jeshi JWTZ 2024/2025 Ajira Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya kidato cha nne na kidato cha sita.
Uandikishwaji huu utahusisha vijana waliopo katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ‘Operesheni General Venance Mabeyo’ na waliohitimu makambi ambao wamefanya mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria na kwa Mkataba wa kujitolea.
Sifa za Mwombaji (Vijana Waliopo JKT na Walioimaliza Mkataba wa JKT)
Vijana wenye nia ya kuandikishwa Jeshi wanatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
Awe Raia wa Tanzania:
-
- Mwombaji lazima awe na uraia wa Tanzania na cheti halisi cha kuzaliwa kuthibitisha hilo.
Awe na Umri Usiozidi Miaka 25:
-
- Mwombaji anatakiwa kuwa na umri ambao hauzidi miaka 25.
Awe na Afya Nzuri na Akili Timamu:
-
- Mwombaji anapaswa kuwa na afya njema na akili timamu.
Mwenye Tabia na Nidhamu Nzuri:
-
- Mwombaji anatakiwa kuwa na tabia nzuri na nidhamu njema, na asiwe na hatia ya makosa ya jinai mahakamani na kufungwa.
Awe na Vyeti vya Shule:
-
- Mwombaji lazima awe na vyeti vya shule kuthibitisha elimu yake.
Awe Hajatumikia Vyombo Vingine vya Ulinzi:
-
- Mwombaji anapaswa kuwa hajawahi kutumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo.
Awe Amehitimu Mafunzo ya JKT:
-
- Mwombaji anatakiwa kuwa amehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mkataba wa kujitolea wa miaka miwili (2) au mafunzo ya Mujibu wa Sheria na kutunukiwa cheti.
Jinsi ya Kujiunga na JWTZ
Kwa vijana wenye sifa zilizotajwa hapo juu, huu ni wakati mzuri wa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kuanza safari yako ya kulitumikia taifa kwa uaminifu na uzalendo. Maombi yanatakiwa kuwasilishwa katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yaliyo karibu na makazi yako. Kila mwombaji atapewa maelekezo zaidi kuhusu hatua zinazofuata mara baada ya kuwasilisha maombi yake.
JWTZ inawahakikishia vijana wote nafasi sawa za kuandikishwa, kwa kuzingatia sifa na vigezo vilivyowekwa. Hii ni fursa adhimu ya kujenga ulinzi na usalama wa taifa letu. Tunawatakia kila la heri vijana wote watakaojitokeza kuomba nafasi hizi.
PDF Maelezo Kuhusu Fursa Hii:
Soma Zaidi:
JWTZ
JWTZ
I need
Mkuu wa utumishi Jeshini,
Makao makuu ya Jeshi,
Sanduku la posta 194
Dar es salama
I m in great need of this chance, My name is Mwinjuma Iddi Saidi, 25
0688206259
Thanks for every other informative website. Where else could I am getting that kind of
info written in such a perfect means? I’ve a project that I am just now running
on, and I have been on the glance out for such info.
We are waiting for selection names 😔 so as to start our journey
FOREX TRADING ( biashara ya mabadilishano ya fedha za kigeni)
Karibu Kweny mafunzo kupitia group letu
https://chat.whatsapp.com/J9rYJskGYJU1XjsRKr04F7
Nmejitolea watakapo fika watu 100 bas nipo tayari kutoa elimu hii ,
Wale ambao ajila imekua changamoto kwao ,tunawez kuutumia mtandao vzr na kupata faida zipo biashara nying kama cryptocurrency ulimwengu na technologia sas inaenda kweny cryptocurrency hasa matumizi ya sarafu mtandao kama Bitcoin
Karibuni
Rashid Hassan
Jamn majina washataja kwawale ambao walioomba au bado
perez uyalo
Bado
Majina huwa yanapatikana wapi
Agape 0684456751
KARIBUNI NATOA ELIMU YA KUFANYA BIASHARA YA FOREX KUPITIA MTANDAO BULEEE
LENGO LANGU VIJANA TUSAIDIANE TUJIAJILI KUPITIA FURSA HII YA MABADILISHANO YA FEDHA ZA KIGENI YAN FOREX ,, NIMEJITOLEA KUTOA ELIMU HII BULE KWA AMBAYE ATAKUA TAYARI KARIBU KWENY GROUP LA FOREX WHATSAPP LINK
https://chat.whatsapp.com/J9rYJskGYJU1XjsRKr04F7