Mechi ya Dodoma Jiji Vs Simba Leo Saa Ngapi? Tarehe 29 Septemba, 2024

Mechi ya Dodoma Jiji Vs Simba Leo Saa Ngapi? Tarehe 29 Septemba, 2024 mchezo wa dodoma jiji dhidi ya simba ni lini utachezwa na saa ngapi (Simba Vs Dodoma Jiji).

Jumapili mnyama atakuwa ugenini dimba la Jamhuri Dodoma kucheza na Dodoma Jiji

Je, ataendeleza wimbi la ushindi ama walima zabibu kumpunguza makali?

Mchezo huu utachezwa saa 12:30 jioni na kuruka mbashara AzamSports1HD

Dodoma Jiji Vs Simba Leo

Mapendekezo:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.