Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Kada Ya Tabibu Daraja La ii (Clinical Officer ii)

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Kada Ya Tabibu Daraja La Ii (Clinical Officer ii) Mdas & Lgas Uliofanyika Tarehe 02 Agosti 2024, Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya kazi kwa ajili ya usaili wa mahojiano.

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Kada Ya Tabibu Daraja La ii

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

Tazama Majina Hapa  Chini:

TABIBU DARAJA LA II (CLINICAL OFFICER II)

Nimebobea kwenye uandaaji wa makala za mtandaoni, Makala zilizofanyiwa uchunguzi wa kina.