Matajiri 10 africa 2024 (Orodha ya matajiri afrika )

Forbes imetangaza orodha ya mabilionea wa Afrika kwa mwaka 2024, ambapo jumla ya mabilionea 20 wana thamani ya dola bilioni 82.4, ongezeko la dola milioni 900 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Hapa kuna orodha ya matajiri kumi bora:

Nafasi Jina Utajiri (TZS trilioni)
1 Aliko Dangote 34.8
2 Johann Rupert na familia 25.3
3 Nicky Oppenheimer na familia 23.5
4 Nassef Sawiris 21.8
5 Mike Adenuga 17.3
6 Abdulsamad Rabiu 14.7
7 Naguib Sawiris 9.5
8 Mohamed Mansour 8
9 Koos Bekker 6.7
10 Patrice Motsepe 6.7

Mohammed Dewji, mjasiriamali wa Tanzania, amepanda kutoka nafasi ya 15 hadi nafasi ya 12, akiwa na utajiri wa TZS trilioni 4.5.

Orodha hii inaonyesha mabadiliko katika utajiri wa matajiri wa Afrika na inatoa picha ya maendeleo na changamoto zinazokabili sekta za biashara barani humo

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.