Makundi ya kufuzu kombe la Dunia 2026 afrika, Kwa kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026, Afrika imegawanywa katika makundi tisa, kila kundi likiwa na timu sita. Hapa chini ni orodha ya makundi yote:
Makundi ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Afrika
Kundi A
-
- Misri
- Burkina Faso
- Guinea-Bissau
- Sierra Leone
- Ethiopia
- Djibouti
Kundi B
-
- Senegal
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- Mauritania
- Togo
- Sudan
- Sudan Kusini
Kundi C
-
- Nigeria
- Afrika Kusini
- Benin
- Zimbabwe
- Rwanda
- Lesotho
Kundi D
-
- Cameroon
- Cape Verde
- Angola
- Libya
- Eswatini
- Mauritius
Kundi E
-
- Morocco
- Zambia
- Congo
- Tanzania
- Niger
- Eritrea (imejiondoa)
Kundi F
-
- Ivory Coast
- Gabon
- Kenya
- Gambia
- Burundi
- Seychelles
Kundi G
-
- Algeria
- Guinea
- Uganda
- Mozambique
- Botswana
- Somalia
Kundi H
-
- Tunisia
- Equatorial Guinea
- Namibia
- Malawi
- Liberia
- Sao Tome e Principe
Kundi I
-
- Mali
- Ghana
- Madagascar
- Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Comoros
- Chad
Kila mshindi wa kundi atafuzu moja kwa moja kwa Kombe la Dunia 2026, na timu nne bora zilizoshika nafasi ya pili zitaingia kwenye mtoano wa CAF ili kuwania nafasi ya ziada katika mchujo wa kimataifa
Tuachie Maoni Yako