Makombe Ya simba Ligi Kuu Tanzania

Makombe Ya simba Ligi Kuu Tanzania, Simba SC ndiyo klabu yenye mataji mengi ya jumla kuliko klabu yoyote Afrika Mashariki, ikiwa na vikombe 58 vya mashindano rasmi. Hakuna klabu nyingine zaidi ya Simba yenye mataji 58 rasmi katika nchi za Afrika Mashariki.

Mataji ya Simba SC

Mashindano Idadi ya Mataji Miaka ya Ushindi
Ligi Kuu Tanzania 22 1965, 1966, 1973, 1976, 1977, 1978, 1979, 1980, 1993, 1994, 1995, 2001, 2002, 2003, 2004, 2007, 2009–10, 2011–12, 2017–18, 2018–19, 2019–20, 2020–21
Nyerere Cup 3 1984, 1995, 2000
FAT Cup 4 1995, 2016–17, 2019–20, 2020–2021
Dar es Salaam League 2 1944, 1946
Tusker Cup 5 2001, 2002, 2003, 2005
Community Shield 9 2002, 2005, 2011, 2012, 2017, 2018, 2019, 2020, 2023
Mapinduzi Cup 3 2011, 2015, 2022
CECAFA Club Championship 7 1974, 2020, 1991, 1992, 1995, 1996, 2002
Jumla 55

Soma Zaidi:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.