Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Awamu Ya Pili 2024/2025 TCU Vyuo

Kwenye Makala Hii Utapata Orodha ya Majina Ya Waliochaguliwa Chuo Awamu Ya Pili 2024/2025 TCU Vyuo orodha ipo kwenye PDF (Second Selection Za Vyuo) Wote Waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja.

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania

Orodha ya Waombaji waliodahiliwa zaidi ya Chuo Kimoja au Programu zaidi ya moja katika awamu ya Pili pamoja na ambao hawajathibitisha udahili katika awamu ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025.

Waliochaguliwa Chuo Awamu Ya Pili 2024/2025 TCU Vyuo

PDF ahpo chini waliochaguliwa kujiunga na vyuo awamu ya pili 2024

Waombaji-waliodahiliwa-zaidi-ya-Chuo-Kimoja-au-Programu-zaidi-ya-moja-Round-1-na-2-2024_2025

Mapendekezo:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.