Ligi 10 Bora Zaidi Barani Africa

Ligi 10 Bora Zaidi Barani Africa, Ligi kumi Bora Afrika 2024 ligi Bora Afrika 2024 CAF, Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza @ligikuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya sita (6) kwa ubora barani Afrika na ya 64 duniani kwa mwaka 2023.

Ligi hiyo imeendelea kusalia ndani ya orodha ya Ligi 10 Bora barani Afrika kwa mwaka wa tatu mfululizo.

Makala Nyingine:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.