Kozi Zenye Kipaumbele Kupata Mkopo HESLB 2024

Kozi Zenye Kipaumbele Kupata Mkopo HESLB 2024, Katika mwaka wa masomo 2024/2025, mikopo itatolewa kwa wanafunzi waliodahiliwa kwenye kozi za kipaumbele katika makundi mawili. Hii ni fursa muhimu kwa wanafunzi wenye uhitaji wa kifedha, na mikopo itatolewa kwa kuzingatia kipaumbele cha kozi na uhitaji wa kitaifa.

1. Kozi za Kundi la Kwanza

Kundi hili linajumuisha wanafunzi waliodahiliwa katika masomo yafuatayo:

1.1 Sayansi za Afya na Uhandisi

  • Clinical Dentistry
  • Diagnostic Radiotherapy
  • Occupational Therapy
  • Physiotherapy
  • Clinical Optometry
  • Dental Laboratory Technology
  • Orthotics & Prosthetics
  • Health Record & Information
  • Electrical and Biomedical Engineering
  • Environmental Health Sciences
  • Health Records Information Technology
  • Medical Laboratory Sciences

1.2 Elimu na Mafunzo ya Ufundi

  • Diploma in Education (Physics na somo lingine lolote)
  • Diploma in Education (Mathematics na somo lingine lolote)
  • Diploma in Teaching (Technical and Vocational Education)

1.3 Usafirishaji na Logistiki

  • Aircraft Mechanics
  • Ship Building and Repair
  • Railway Construction and Maintenance
  • Global Logistics and Supply Chain Management
  • Marine Transport and Nautical Science
  • Shipping and Logistic Management
  • Transport and Supply Chain Management
  • Naval Architecture and Offshore Engineering

1.4 Uhandisi wa Nishati, Uchimbaji na Sayansi ya Ardhi

  • Renewable Energy Engineering (Hydro, Wind, Solar)
  • Pipeline, Oil and Gas Engineering
  • Oil and Gas Engineering Technology
  • Environmental Engineering and Management
  • Lapidary and Jewelry
  • Mineral Processing
  • Geology and Mineral Exploration
  • Petroleum Geosciences and Exploration
  • Land and Mine Surveying
  • Metallurgy and Mineral Processing Engineering
  • Mining Engineering

1.5 Kilimo na Ufugaji

  • Leather Technology
  • Food Technology and Human Nutrition
  • Sugar Production Technology
  • Sugarcane Production Technology
  • Veterinary Laboratory Technology
  • Horticulture
  • Irrigation Engineering
  • Agro Mechanization

2. Kozi za Kundi la Pili

Kundi hili linajumuisha wanafunzi waliodahiliwa kwenye kozi zilizomo katika fani zifuatazo: Energy Engineering, Mining & Earth Science, na Agriculture & Livestock ambazo hazijatajwa kwenye kundi la kwanza, kipengele cha 1.4 na 1.5. Wanafunzi hawa wanaruhusiwa kuomba mkopo.

Mikopo hii itawawezesha wanafunzi kupata elimu bora katika kozi zenye kipaumbele, ambazo ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Hakikisha unafuata taratibu zote na kuwasilisha maombi yako kwa wakati ili uweze kufaidika na fursa hii.

Kwa maswali zaidi, unaweza kuwasiliana na HESLB kupitia info@heslb.go.tz.

Soma Zaidi:

Nimebobea kwenye uandaaji wa makala za mtandaoni, Makala zilizofanyiwa uchunguzi wa kina.