Jinsi Ya Kupata Mimba Kwa Haraka, Kama unataka kushika mimba haraka, kuna baadhi ya hatua muhimu unazoweza kuchukua:
1. Sitisha Matumizi ya Uzazi wa Mpango
Kuacha kutumia njia za uzazi wa mpango kama kondomu, vidonge, kitanzi n.k ni hatua muhimu ya kwanza. Wengi hushika mimba wiki mbili baada ya kuacha, lakini wengine wanaweza kuchukua miezi michache.
2. Anza Kutumia Virutubisho
Ujauzito unahitaji virutubishi vingi kwa ajili ya ukuaji. Tumia vidonge vya multivitamin ili kuimarisha ukuaji wa mimba na kuepuka mimba kuharibika mapema kutokana na upungufu wa virutubishi.
3. Fanya Tendo la Ndoa Wakati wa Siku za Hatari
Kujua siku zako za hatari za kushika mimba ni muhimu. Anza kufatilia mzunguko wako kwa kurekodi tarehe za hedhi. Fanya tendo la ndoa kila siku kwenye siku hizi za hatari ili kuongeza uwezekano wa kushika mimba.
4. Tumia Mikao Inayosaidia
Mikao kama kuchuma mboga (mwanaume kukaa kwa nyuma) na kifo cha mende (mwanaume kukaa juu) husaidia mbegu kupenya zaidi na kurahisisha kufika kwenye yai.
5. Kula Vyakula Vya Kuongeza Rutuba
Vyakula kama soy, zinc na vidonge vya kusafisha kizazi vya UCP vinaweza kuongeza chansi ya kushika mimba kwa kuimarisha uzalishaji wa mayai, kurekebisha homoni na kusafisha kizazi.
Kwa kufuata hatua hizi na kuwa na subira, uwezekano wa kushika mimba haraka utaongezeka. Ikiwa una wasiwasi yoyote, wasiliana na daktari wako.
Mapendekezo:
Leave a Reply