Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Azam Tv 2024, Azam TV inakupa burudani bora kwa aina mbalimbali kama vile michezo, burudani, filamu, makala, maisha, muziki, habari, na redio. Ikiwa unataka kujua jinsi ya kulipia vifurushi vya Azam TV, hapa utapata maelekezo rahisi na ya haraka.
Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Azam TV kwa Wiki
Ili kulipia kifurushi cha Azam TV kwa wiki, unaweza kutumia njia zifuatazo:
- Tigo Pesa
- Halo Pesa
- M-Pesa
- Airtel Money
Jinsi Ya Kulipia Azam TV kwa Tigo Pesa
- Piga *150*01# kwenye simu yako.
- Chagua “Lipa Bili.”
- Chagua “Ingiza namba ya biashara.”
- Chagua 5 “King’amuzi (TV Subscription).”
- Chagua “Azam Pay TV.”
- Ingiza namba yako ya akaunti ya Azam TV.
- Ingiza kiasi cha kulipia.
- Ingiza namba ya siri kuthibitisha malipo.
Jinsi Ya Kulipia Azam TV kwa M-Pesa
- Piga *150*00# kwenye simu yako.
- Chagua “Lipa kwa M-Pesa.”
- Chagua “Chagua biashara.”
- Chagua “TV Subscription.”
- Chagua “Azam TV.”
- Ingiza namba yako ya akaunti ya Azam TV.
- Ingiza kiasi cha kulipia.
- Ingiza namba ya siri kuthibitisha malipo.
Jinsi Ya Kulipia Azam TV kwa Airtel Money
- Piga *150*60# kwenye simu yako.
- Chagua “Lipa Bili.”
- Chagua “Ingiza namba ya biashara.”
- Chagua 5 “King’amuzi (TV Subscription).”
- Chagua “Azam.”
- Ingiza namba yako ya akaunti ya Azam TV.
- Ingiza kiasi cha kulipia.
- Ingiza namba ya siri kuthibitisha malipo.
Njia Zingine za Kulipia Azam TV
- Tembelea wakala wa Azam TV aliye karibu nawe.
- Tumie huduma za SELCOM, MAX MALIPO au BUTTON PAY.
- Tembelea kituo chochote cha SELCOM PAY POINTS na uombe kulipia Azam TV.
Jinsi Ya Kubadilisha Kifurushi Cha Azam TV
- Piga simu kwa huduma kwa wateja wa Azam TV au tembelea wakala wa Azam TV aliye karibu.
- Toa maelezo ya akaunti yako na kifurushi unachotaka kubadilisha.
- Fuata maelekezo watakayokupa kuhakikisha mabadiliko yamefanyika.
Kwa kufuata maelekezo haya, utaweza kulipia na kubadilisha vifurushi vya Azam TV kwa urahisi na haraka. Furahia burudani bora na Azam TV!
Soma Zaidi:
Tuachie Maoni Yako