Ada Chuo cha RUCU, chuo kikuu cha Ruaha Catholic University, Kiwango cha Ada Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Ruaha (RUCU) Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Ruaha (RUCU) kimeachia kiwango cha ada kinacholipwa na wanafunzi wa shahada ya kwanza na ya uzamili kwa mwaka wa masomo 2024/2025.
Ada hizi ni kwa wanafunzi waliopata udahili wa muda na wale wanaotafuta kujiunga na programu mbalimbali chuoni hapo.
Je, Ada za RUCU Zinajumuisha Nini?
Ada za RUCU zinajumuisha gharama za masomo, vifaa vya masomo, usajili, mitihani, malazi, na gharama zingine za kipindi cha masomo.
Kiwango cha Ada kwa Programu za Uzamili
- Master of Finance and International Investment Management (MFIIM)
- Master of Laws (LL.M.) in Human Rights Law
- Master of Business Administration (MBA)
- Master of Education (MAED)
- Postgraduate Diploma in Education (PGDE)
Kiwango cha Ada kwa Programu za Shahada ya Kwanza
- Bachelor of Environmental Health Science with Information Technology
- Bachelor of Accounting and Finance with Information Technology
- Bachelor of Science in Computer Science Software Engineering
- Bachelor of Business Administration in Accounting
- Bachelor of Banking and Microfinance
- Bachelor of Business Administration
- Bachelor of Science in Education
- Bachelor of Arts with Education
- Bachelor of Computer Science
- Bachelor of Laws
Kiwango cha Ada kwa Programu za Diploma na Cheti
- Ordinary Diploma in Clinical Medicine (NTA Level 6)
- Basic Technician Certificate in Clinical Medicine (NTA Level 4 & 5)
- Ordinary Diploma in Nursing and Midwifery (NTA Level 6)
- Basic Technician Certificate in Nursing and Midwifery (NTA Level 4 & 5)
- Diploma in Library and Information Studies
- Diploma in Environmental Health Sciences Level 4 & 5
- Diploma in Environmental Health Sciences Level 6
- Diploma in Medical Laboratory Sciences Level 4 & 5
- Diploma in Medical Laboratory Sciences Level 6
- Diploma in Pharmaceutical Sciences Level 4 & 5
- Diploma in Pharmaceutical Sciences Level 6
- Diploma in Business Administration
- Diploma in Computer Science
- Diploma in Law
- Certificate in Library and Information Studies
- Certificate in Information Technology
- Certificate in Business Administration
- Certificate in Computer Science
- Certificate in Law
Tazama Ada Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Ruaha (RUCU);Â https://www.rucu.ac.tz/Fees_Structure.html
Mawasiliano kwa Maelezo Zaidi
Ofisi ya Udahili: Piga simu 0742 281 678 au 0710 500 292 au 0765 094 051 au 0782 737 005
Malipo na Namba ya Kudhibiti: Piga simu 0736 500 292
Malazi (Hosteli): Piga simu 0747 454 383
Soma Zaidi:
Tuachie Maoni Yako