Orodha ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Tangu 1965

Orodha ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara, Ligi Kuu Tanzania Bara, maarufu kama NBC Premier League, ina historia ndefu na ushindani mkali. Hapa kuna orodha ya mabingwa wa ligi hiyo kuanzia mwaka 1965 hadi sasa:

Mwaka Bingwa
1965 Sunderland (Simba SC)
1966 Sunderland
1967 Cosmopolitan
1968 Young Africans S.C
1969 Young Africans S.C
1970 Young Africans S.C
1971 Young Africans S.C
1972 Young Africans S.C
1973 Simba SC
1974 Young Africans S.C
1975 Mseto SC
1976 Simba SC
1977 Simba SC
1978 Simba SC
1979 Simba SC
1980 Simba SC
1981 Young Africans S.C
1982 Pan Africans S.C
1983 Young Africans S.C
1984 Simba SC
1985 Young Africans S.C
1986 Tukuyu Stars
1987 Young Africans S.C
1988 Coastal Union
1989 Young Africans S.C
1990 Simba SC
1991 Young Africans S.C
1992 Young Africans S.C
1993 Young Africans S.C
1994 Simba SC
1995 Simba SC
1996 Young Africans S.C
1997 Young Africans S.C
1998 Young Africans S.C
1999 Mtibwa Sugar
2000 Mtibwa Sugar
2001 Simba SC
2002 Young Africans S.C
2003 Simba SC
2004 Simba SC
2005 Young Africans S.C
2006 Young Africans S.C
2007 Simba SC
2008/09 Young Africans S.C
2009/10 Simba SC
2010/11 Young Africans S.C
2011/12 Simba SC
2012/13 Young Africans S.C
2013/14 Azam FC
2014/15 Young Africans S.C
2015/16 Young Africans S.C
2016/17 Young Africans S.C
2017/18 Simba SC
2018/19 Simba SC
2019/20 Simba SC
2020/21 Simba SC
2021/22 Young Africans S.C
2022/23 Young Africans S.C

Timu za Young Africans na Simba ndizo zinazoongoza kwa ubingwa, huku Yanga ikiwa na mataji zaidi ya 29 na Simba ikiwa na 23. Msimu wa sasa (2023-24) bado haujakamilika, na bingwa atajulikana baadaye.

Nimebobea kwenye uandaaji wa makala za mtandaoni, Makala zilizofanyiwa uchunguzi wa kina.