Yanga VS KMC FC Leo Ni Saa ngapi? Tarehe 29 Septemba, 2024

Yanga VS KMC FC Leo Ni Saa ngapi? Tarehe 29 Septemba, 2024, Mchezo Kati Ya Yanga dhidi ya KMC FC utachezwa lini Na Saa ngapi? Makala hii itakupa taarifa zote za Muhimu.

Baada ya Mbeya wananchi Yanga SC wanarudi nyumbani, Jumapili hii watakuwa dimba la Azam Complex wakiwakaribisha KMC

Mchezo huu utapigwa saa 3:00 usiku na kuruka mbashara #AzamSports1HD

Mchezo wa Jumapili #nbcpremierleague dhidi ya KMC FC… Tukutane Chamazi👊🏽

🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚KMC FC
📆 29.09.2024
🏟 Azam Complex

Mapendekezo:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.