Mkoa wenye watu wengi Tanzania

Mkoa wenye watu wengi Tanzania, Mkoa wenye watu wengi zaidi nchini Tanzania ni Dar es Salaam, ukiwa na jumla ya watu wapatao 5,383,728 kulingana na matokeo ya awali ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022.

Mkoa huu unachangia asilimia 8.7 ya idadi yote ya watu nchini.

Mikoa mingine yenye idadi kubwa ya watu ni:

  1. Mwanza – 3,699,872
  2. Tabora – 3,391,679
  3. Morogoro – 3,197,104
  4. Dodoma – 3,088,625
  5. Kagera – 2,989,299
  6. Geita – 2,977,608
  7. Tanga – 2,615,597
  8. Kigoma – 2,470,967
  9. Mara – 2,356,255.

Dar es Salaam ni mji mkuu wa biashara na utawala nchini Tanzania, na hivyo ina mvuto mkubwa wa watu kutokana na fursa za kiuchumi na huduma mbalimbali.

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.