Ajira mpya za Walimu 2024/2025 MDAs & LGAs Na UTUMISHI,Tangazo la ajira za walimu 2024/2025, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 600 kama ilivyoainishwa kwenye tangazo hili.
Tangazo la ajira za walimu 2024/2025
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USINDIKAJI WA MBAO | 2024-09 |
(WOOD PROCESSING) – 5 POST | -30 |
Employer: MDAs & LGAs | Login to |
More Details | Apply |
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA BIASHARA (BOOKKEEPING) | 2024-09 |
– 125 POST | -30 |
Employer: MDAs & LGAs | Login to |
More Details | Apply |
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA BIASHARA (COMMERCE) – | 2024-09 |
125 POST | -30 |
Employer: MDAs & LGAs | Login to |
More Details | Apply |
POST: MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA UVUVI NA USINDIKAJI WA | 2024-09 |
SAMAKI (FISHING AND FISH PROCESSING) – 10 POST | -30 |
Employer: MDAs & LGAs | Login to |
More Details | Apply |
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA UPOAJI NA VIYEO VYA | 2024-09 |
HEWA (REFRIGERATION AND AIR CONDITIONING) – 9 POST | -30 |
Employer: MDAs & LGAs | Login to |
More Details | Apply |
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA UPAKAJI RANGI NA | 2024-09 |
UANDIKAJI MAANDISHI (PAINTING AND SIGN WRITING) – 3 POST | -30 |
Employer: MDAs & LGAs | Login to |
More Details | Apply |
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USELEMALA (CARPENTRY | 2024-09 |
AND JOINERY WITH METAL WORKS) – 18 POST | -30 |
Employer: MDAs & LGAs | Login to |
More Details | Apply |
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA UFUNDI WA BOMBA | 2024-09 |
(PLUMBING AND PIPE FITTING) – 18 POST | -30 |
Employer: MDAs & LGAs | Login to |
More Details | Apply |
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA UASHI (MASONRY AND | 2024-09 |
BRICKLAYING) – 26 POST | -30 |
Employer: MDAs & LGAs | Login to |
More Details | Apply |
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USHONAJI (DESIGNING, | 2024-09 |
SEWING AND CLOTH TECHNOLOGY) – 17 POST | -30 |
Employer: MDAs & LGAs | Login to |
More Details | Appl |
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU, OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
- L. P. 2320, DODOMA.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment 45 Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/.= (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’) (Anuani hii
pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)
Tuachie Maoni Yako