Kuitwa Kwenye Usaili Mteknolojia Msaidizi Daraja La ii – Maabara (Assistant Laboratory Technologist Ii) 29-08-2024

Majina ya walioitwa kwenye interview, Kuitwa Kwenye Usaili Mteknolojia Msaidizi Daraja La Ii – Maabara (Assistant Laboratory Technologist Ii) 29-08-2024, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapendakuwataarifuWaombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 10-09-2024 hatimayekuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Usaili Mteknolojia Msaidizi Daraja La ii – Maabara

Wasailiwa wanaoitwakwenyeusailiwanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemuambapousaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, KitambulishochaMpigakura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulishokutokaSerikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.

5. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidatochaIV,VI,Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeananasifazaMwombaji.

6. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatizamatokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWANAHAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.

8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

9. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa nakuidhinishwanaMamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

10. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwahawakukidhivigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatiamahitajiyatangazo husika.

11. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswakujanavyetivyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

12. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao nakunakili nambaya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
13. Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwakuvaanguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

Nimebobea kwenye uandaaji wa makala za mtandaoni, Makala zilizofanyiwa uchunguzi wa kina.