Wachezaji wa Azam Walioitwa Timu ya Taifa AFCON 2025

Wachezaji wa Azam Walioitwa Timu ya Taifa Kwenye Mashindano AFCON 2024-2025, Kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kimejumuisha wachezaji kadhaa kutoka klabu ya Azam FC.

Hawa ni wachezaji wa Azam FC waliochaguliwa kuwakilisha timu ya taifa:

Orodha ya Wachezaji wa Azam FC

  • Lusajo Mwaikenda – Beki
  • Nathaniel Chilambo – Beki
  • Pascal Msindo – Beki
  • Adolf Mtasigwa – Kiungo
  • Feisal Salim – Kiungo

Wachezaji hawa wameonyesha uwezo mkubwa katika klabu yao ya Azam FC, na sasa wanatarajiwa kutoa mchango muhimu katika safari ya Taifa Stars kuelekea AFCON 2025.

Mapendekezo:

Uwepo wao katika kikosi cha taifa ni ushahidi wa ubora wa klabu ya Azam FC katika kukuza na kuendeleza vipaji vya wachezaji wake.

Nimebobea kwenye uandaaji wa makala za mtandaoni, Makala zilizofanyiwa uchunguzi wa kina.