Wachezaji wa Yanga Walioitwa Timu ya Taifa Mashindano AFCON 2025

Wachezaji wa Yanga Walioitwa Timu ya Taifa Kwenye Mashindano AFCON 2024-2025, Kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kimejumuisha wachezaji kadhaa kutoka klabu ya Young Africans (Yanga SC).

Wachezaji wa Yanga Walioitwa Timu ya Taifa

Hawa ni wachezaji wa Yanga waliochaguliwa kuwakilisha timu ya taifa:

Orodha ya Wachezaji wa Yanga

  • Abdultwalib Mshery – Golikipa
  • Dickson Job – Beki
  • Ibrahim Hamad – Beki
  • Bakari Nondo – Beki
  • Nickson Kibabage – Beki
  • Mudathir Yahya – Kiungo
  • Clement Mzize – Mshambuliaji

Wachezaji hawa wameonyesha uwezo mkubwa katika klabu yao ya Yanga SC, na sasa wanatarajiwa kutoa mchango muhimu katika safari ya Taifa Stars kuelekea AFCON 2025. Uwepo wao katika kikosi cha taifa ni ushahidi wa ubora wa klabu ya Yanga katika kukuza na kuendeleza vipaji vya wachezaji wake.

Mapendekezo:
Nimebobea kwenye uandaaji wa makala za mtandaoni, Makala zilizofanyiwa uchunguzi wa kina.