Kikosi cha Wachezaji Walioitwa Timu ya Taifa Kufuzu Afcon 2024-2025 (Taifa Stars AFCON)

Kikosi cha Wachezaji Walioitwa Timu ya Taifa Kufuzu Afcon 2024- 2025 Majina ya Wchezaji (Taifa Stars AFCON), Timu ya Taifa ya Tanzania, maarufu kama Taifa Stars, imeanza maandalizi kwa ajili ya michezo ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025.

Kocha Hemed Suleiman ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoingia kambini kujiandaa na mechi dhidi ya Ethiopia na Guinea. Michezo hii ni muhimu katika safari ya kufuzu kwa michuano hiyo itakayofanyika Morocco.

Kikosi cha Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025

Wachezaji na Klabu Zao

Walinda Mlango:

  • Ally Salim – Simba SC
  • Abdultwalib Mshery – Young Africans
  • Yona Amos – Pamba SC

Mabeki:

  • Lusajo Mwaikenda – Azam FC
  • Nathaniel Chilambo – Azam FC
  • Mohamed Hussein – Simba SC
  • Dickson Job – Young Africans
  • Pascal Msindo – Azam FC
  • Ibrahim Hamad – Young Africans
  • Bakari Nondo – Young Africans
  • Nickson Kibabage – Young Africans

Viungo:

  • Abdulmalik Zakaria – Mashujaa FC
  • Adolf Mtasigwa – Azam FC
  • Himid Mao – Tala’a El Geish, Misri
  • Novatus Dismas – Goztepe, Uturuki
  • Mudathir Yahya – Young Africans
  • Hussein Semfuko – Coastal Union
  • Edwin Balua – Simba SC
  • Feisal Salim – Azam FC

Washambuliaji:

  • Wazir Junior – Dodoma Jiji
  • Cyprian Kachwele – Vancouver Whitecaps, Canada
  • Clement Mzize – Young Africans
  • Abel Josiah – TDS TFF Academy

Maandalizi na Malengo

Kikosi hiki kimejumuisha wachezaji wenye vipaji na uzoefu kutoka klabu mbalimbali ndani na nje ya nchi. Wachezaji wa Yanga SC na Simba SC wakiwa na wawakilishi wengi, huku pia kukiwa na wachezaji wanaocheza nje ya Tanzania kama Himid Mao na Cyprian Kachwele.

Taifa Stars wanatarajiwa kuweka kambi nchini Misri kwa maandalizi ya mwisho kabla ya kushiriki AFCON 2025. Kwa maelezo zaidi kuhusu kikosi na maandalizi ya Taifa Stars, unaweza kusoma zaidi kwenye Africa Top Sports, na Global Publishers.

Nimebobea kwenye uandaaji wa makala za mtandaoni, Makala zilizofanyiwa uchunguzi wa kina.