Mishahara ya wachezaji wa Azam FC 2024-2025, Azam FC ni moja ya vilabu maarufu nchini Tanzania, inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania. Klabu hii imewekeza sana katika wachezaji wake, kuhakikisha wanapata mishahara mizuri inayolingana na jitihada zao uwanjani.
Hii imeiwezesha klabu kuvutia wachezaji wenye vipaji kutoka ndani na nje ya nchi.
Jedwali la Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2024/25
# | Mchezaji | Nafasi | Taifa | Mshahara (TZS) |
---|---|---|---|---|
– | Mohamed Mustafa | Golikipa | Sudan | 8M |
1 | Abdulai Iddrisu | Golikipa | Ghana | 3M |
30 | Ali Ahamada | Golikipa | Comoros | 13M |
32 | Zuberi Foba Masudi | Golikipa | Tanzania | – |
– | Yeison Fuentes | Beki wa Kati | Colombia | 6.2M |
5 | Lusajo Mwaikenda | Beki wa Kati | Tanzania | 2M |
– | Yoro Diaby | Beki wa Kati | Mali | – |
25 | Abdalla Kheri | Beki wa Kati | Tanzania | 1.9M |
– | Pascal Msindo | Beki wa Kushoto | Tanzania | 2M |
12 | Cheikh Sidibé | Beki wa Kushoto | Senegal | 6M |
20 | Nathaniel Raphael Chilambo | Beki wa Kulia | Tanzania | 1.3M |
– | Ever Meza | Kiungo wa Ulinzi | Colombia | 5M |
– | Adolf Bitegeko | Kiungo wa Ulinzi | Tanzania | 25K |
4 | Yannick Bangala | Kiungo wa Ulinzi | DR Congo | 5M |
6 | Feisal Salum | Kiungo wa Kati | Zanzibar | 17.8M |
17 | Sospeter Bajana | Kiungo wa Kati | Tanzania | 3.4M |
2 | James Akaminko | Kiungo wa Kati | Ghana | 5M |
21 | Yahya Zayd | Kiungo wa Kushambulia | Tanzania | 3M |
– | Tepsi Evance | Kiungo wa Kushambulia | Tanzania | 800K |
9 | Abdul Hamisi Suleiman | Winga wa Kushoto | Tanzania | 2.7M |
19 | Gibril Sillah | Winga wa Kushoto | The Gambia | 6M |
23 | Iddy Seleman Nado | Winga wa Kushoto | Tanzania | 3M |
– | Franck Tiesse | Winga wa Kulia | Cote d’Ivoire | 7M |
– | Jhonier Blanco | Mshambuliaji wa Kati | Colombia | 10M |
– | Franklin Navarro | Mshambuliaji wa Kati | Colombia | 5.6M |
– | Nassor Saadun | Mshambuliaji | Tanzania | 900K |
– | Adam Omar Adam | Mshambuliaji wa Kati | Tanzania | 1M |
11 | Alassane Diao | Mshambuliaji wa Kati | Senegal | 4M |
Mishahara ya wachezaji wa Azam FC inaonyesha uwekezaji mkubwa wa klabu katika kuhakikisha wachezaji wanapata marupurupu yanayostahili.
Hii inachangia katika utendaji bora wa timu na kuvutia wachezaji wenye vipaji vya juu. Azam FC inaendelea kuwa moja ya vilabu vinavyoongoza katika Ligi Kuu ya Tanzania kwa kujali maslahi ya wachezaji wake.
Mapendekezo:
Tuachie Maoni Yako