Hizi Hapa Gharama za Posta Tanzania | Kwa Vifurushi na Mizigo/Cargo

Gharama za Posta Tanzania | Kwa Vifurushi na Mizigo/Cargo Na Bei Zake Kiujumla, Shirika la Posta Tanzania linawakaribisha wateja wetu na Watanzania kwa ujumla kutumia huduma zetu mpya za posta. Tuna huduma mbalimbali za kusafirisha barua, vifurushi, na mizigo kwa gharama nafuu na za haraka.

Hapa chini ni maelezo ya gharama kwa huduma zetu tofauti:

Gharama za Barua

Barua (uzito wa juu 2kgs):

  • Hadi 20 gms: 900/= (Economy) | 1,700/= (Priority)
  • Zaidi ya 20gms hadi 50 gms: 1,400/= (Economy) | 1,800/= (Priority)
  • Zaidi ya 50gms hadi 100 gms: 1,700/= (Economy) | 2,200/= (Priority)
  • Zaidi ya 100gms hadi 250 gms: 2,000/= (Economy) | 3,200/= (Priority)
  • Zaidi ya 250gms hadi 500 gms: 3,300/= (Economy) | 4,700/= (Priority)
  • Zaidi ya 500gms hadi 1 kg: 5,000/= (Economy) | 7,100/= (Priority)
  • Zaidi ya 1kg hadi 2 kgs: 7,100/= (Economy) | 8,300/= (Priority)

Gharama za Vifurushi

Vifurushi vya Ndani (uzito wa juu 30kgs):

  • Hadi 1 kg: 5,700/=
  • Zaidi ya 1 kg hadi 3kgs: 10,800/=
  • Zaidi ya 3 kgs hadi 5 kgs: 15,600/=
  • Zaidi ya 5 kgs hadi 10 kgs: 38,250/=
  • Zaidi ya 10 kgs hadi 15 kgs: 53,800/=
  • Zaidi ya 15 kgs hadi 20 kgs: 69,400/=
  • Zaidi ya 20 kgs hadi 25 kgs: 87,100/=
  • Zaidi ya 25 kgs hadi 30 kgs: 104,800/=

Gharama za Mizigo Mikubwa au Nyepesi

Mizigo Mikubwa/Nyepesi (uzito wa juu 30kgs):

  • Hadi 1 kg: 9,200/=
  • Zaidi ya 1 kg hadi 3 kgs: 27,650/=
  • Zaidi ya 3 kgs hadi 5 kgs: 38,000/=
  • Zaidi ya 5 kgs hadi 10 kgs: 46,700/=
  • Zaidi ya 10 kgs hadi 15 kgs: 65,400/=
  • Zaidi ya 15 kgs hadi 20 kgs: 80,500/=
  • Zaidi ya 20 kgs hadi 25 kgs: 96,100/=
  • Zaidi ya 25 kgs hadi 30 kgs: 113,300/=

Gharama za Mizigo ya Kawaida (Pamoja na Ada za Bandari)

Mizigo ya Kawaida (uzito wa juu 30kgs):

  • Hadi 1 kg: 7,800/=
  • Zaidi ya 1 kg hadi 3 kgs: 15,600/=
  • Zaidi ya 3kgs hadi 5 kgs: 20,300/=
  • Zaidi ya 5 kgs hadi 10 kgs: 42,000/=
  • Zaidi ya 10 kgs hadi 15 kgs: 58,200/=
  • Zaidi ya 15 kgs hadi 20 kgs: 76,500/=
  • Zaidi ya 20 kgs hadi 25 kgs: 92,000/=
  • Zaidi ya 25 kgs hadi 30 kgs: 109,150/=

Bima ya Posta

Thamani ya Mizigo:

  • Hadi 50,000/=: 10,000/=
  • 50,001 – 100,000/=: 20,000/=
  • 100,001 – 500,000/=: 20%
  • 500,001 – 5,000,000/=: 30%

Kumbuka: Hakikisha unalipia bima kwa mizigo yako ili kuhakikisha fidia endapo kutatokea upotevu, uharibifu, au kushindwa kufika.

Soma zaidi:

Kazi Forums Ni chanzo chako bora cha makala na habari za kuaminika zilizochapishwa kwa weledi zaidi na uchunguzi wa kina.